Makongoro Nyerere: Mama Maria Nyerere yeye hana makuu

Ulishawahi kufika kwa Mama Maria?

Makongoro anaishi ARUSHA na ndio makazi yake ya kudumu tangu enzi za Mwalimu, unasemaje Makongoro anaishi kwa Mama yake?

Una matatizo ya AKILI siyo bure.

Kwanza Butiama, Hakuna familia ya Nyerere.

Madaraka anaishi Canada na ana Mambo yake.

Mama Maria anaishi Msasani.

Makongoro anaishi ARUSHA na amewahi kuwa Mbunge wa Arusha miaka ya 1995 ya uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi.
Bill ya maisha kwa Maria Nyerere kwa wote popote walipo iwe Butiama,Msasani au Canada

Nyerere ana watoto nane jumla wawili nafikiri wamefariki sita wako hai bill kwake
Bill kwa mama kula kulala kwa mama
 
Ulishawahi kufika kwa Mama Maria?

Makongoro anaishi ARUSHA na ndio makazi yake ya kudumu tangu enzi za Mwalimu, unasemaje Makongoro anaishi kwa Mama yake?

Una matatizo ya AKILI siyo bure.

Kwanza Butiama, Hakuna familia ya Nyerere.

Madaraka anaishi Canada na ana Mambo yake.

Mama Maria anaishi Msasani.

Makongoro anaishi ARUSHA na amewahi kuwa Mbunge wa Arusha miaka ya 1995 ya uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi.
Nyumba ya Makongoro ipo Arusha uzunguni karibu na pepe hotel lakini huwa haishi pale mkuu.
 
Ipo siku anaweza kumuwahisha arithi mali
Kikwete aongezewe ulinzi au akae mbali na Salma nyimba anazo kibao amwache akae ingine wasikutane

Na yote aliyomfanyia ikiwemo kusaidia NGO yake ya WAMA leo anamkana bungeni kuwa unaanzisha NGO na hupati msaada wowote unahangaika mwenyewe

Hivi Ridhiwani Kiwete yuko bungeni matamshi kama hayo ya mama yake mdogo si yanamuumiza sana?

Ndio maana sio vizuri familia kurundikana eneo moja ona sasa maugomvi ya nyumbani yanaletwa bungeni kuwa mzee Kikwete alikuwa kidume kisichowajibika NGO ya mkewe !!
Bulembo wa CCM mfano alioza mwanawe mbunge kwa mbunge Zitto Kabwe

Siku hiyo akalipuka bungeni kuwa Zitto kabwe mkwewe anastahili kuuawa !! Wote wakiwa bungeni!! Baba mkwe anamtangazia mkwewe Zitto kabwe kifo!!!
 
Nyumba ya Makongoro ipo Arusha uzunguni karibu na pepe hotel lakini huwa haishi pale mkuu.
MakongoronWaliachana na mkewe mwanasheria Makongoro anaishi Butiama nyumba ya mama yake akiyoachiwa na mumewe marehemu Julius Nyerere.Yamejazana nyumba ya mama yao. Kula kulala kwa mama yao bill ya mama
 
Bill ya maisha kwa Maria Nyerere kwa wote popote walipo iwe Butiama,Msasani au Canada

Nyerere ana watoto nane jumla wawili nafikiri wamefariki sita wako hai bill kwake
Bill kwa mama kula kulala kwa mama
Kila mmoja ana Maisha yake wewe kibugusa.

Madaraka ana mishe zake superb huko Canada, hata wajukuu wengi sana wa Nyerere wako huko na wengine hawajui hata Kiswahili.

Makongoro hajawahi kuhama Arusha tangu Nyerere akiwepo. Na hajawahi kukaa Jobless, Mara nyingi Amelia Mbunge ( NCCR MAGEUZI), Mbunge ( EALA) na Mjumbe NEC.

Kwanza mke wa Makongoro Ni Jaji Mstaafu wa mahakama ya kazi, yaani. Aache mke wake na nyumba yake Arusha akakae Msasani au Butiama kwa Mama yake?;

Huo uRC ndio kapewa sasa hivi. Hajawahi kuwa hata DC.

Watoto wa Nyerere wengi wanajipambania Maisha yao wenyewe tu.

Najua wabongo tunaishi kwa CHUKI, basi Chuki ziendane na ukweli.
 
Bimkubwa hatosheki.

Mipesa yote hio ya familia yako na michongo yenu still unataka pensheni duuh.

Kweli binadamu haridhiki ,akiridhika kashakufa.
 
Kwanza mke wa Makongoro Ni Jaji Mstaafu wa mahakama ya kazi, yaani. Aache mke wake na nyumba yake Arusha akakae Msasani au Butiama kwa Mama yake?;
Uongo waliachana siku nyingi
Huyo jaji hiyo nyumba yake alijenga kwa pesa zake hapo Arusha sio za makongoto

Makongoro hana hata kibanda cha majani alichowahi jenga yeye ni kula kulala kwa mama yake Msasani na Butiama na kula bata tu

Huyo mama jaji akamshindwa cha pombe na mla bata Makongoto akamshindwa akambwaga
Hawaishi wote
 
Mama Salma Kikwete Mbunge.

Ridhiwani Kikwete Mbunge na Naibu Waziri.

Jakaya Kikwete, Rais Mstaafu.

Halafu huyu Mama bado haoni aibu kutaka kuongezewa mafao ya serikali?

Tena katika zama hizi ambazo Tanzania kuna umasikini mkubwa ba ukosefu wa ajira?
.
Hivi hawa watu wanataka tuuane kama The French Revolution ndiyo waelewe kwamba kuna watu wanateseka sana na hii nchi si yao tu?
 
Uongo waliachana siku nyingi
Huyo jaji hiyo nyumba yake alijenga kwa pesa zake hapo Arusha sio za makongoto

Makongoro hana hata kibanda cha majani alichowahi jenga yeye ni kula kulala kwa mama yake Msasani na Butiama na kula bata tu

Huyo mama akamshindwa akambwaga
Hawaishi wote
Sawa, yawezekana kaachana na mke wake KAKUOA wewe maana inaonekana unayajua ya ndani sana kuhusu Makongoro.
 
Naunga mkono hoja mama Maria hana makuu hebu fikiria mitoto yote mikubwa akiwemo Makongoro inaishi kwa mama yao

Watoto wa kike na waume zao kula kulala kwa Maria Nyerere likiwemo li zungu la Ulaya lililio oa mtoto wa Nyerere linaishi kwa pesa ya mama Maria Nyerere

Yaani ana familia ya mijitu mizima na wake zao na watoto zao wote bill kwa Maria Nyerere na ka Pension kake ka pesa ya mumewe

Mama Samia Walau aliona ampunguzie mzigo kwa kumpa ukuu wa mkoa Makongoro baada ya kuona mijitu mizima inaishi kwa mama haiwezi kujitegemea!! Na umri wao mkubwa!!

Kweli maria hana makuu aisee ukifika Butiama ni aibu kwa hiyo mitoto ya Nyerere si kuwa haikuwa na kazi huyo.Makongoro alishakuwa hadi mbunge lakini alikuwa kula kulala kwa mama yake!!
Ebu tusikariri maisha kila familia inautaratibu wake banaaaa we kama kwenu ulifukuzwaaabsio wote, uo ndo utaratibu wa familia kama wanaishi kwao haimaaanishi awana uwezo wa kuishiii kwenye nyumba zao pengine wameamua kuishiii kama extended famili, unauhakika gan wanaishi kwa ela ya maria nyererrr au ndo storiii za vijiweniiii
 
S
Akiongea na East Africa Radio leo kuhusu maadhimisho ya Miaka 100 ya Nyerere, Makongoro Nyerere ametoa “kifumbo” ambacho wachambuzi wa mambo wanahusisha na kauli ya mama Salma Kikwete kuhusu mafao ya wenza wa marais.

"Mama Maria Nyerere kama siku 14 zilizopita nilipata taarifa kutoka kwa shemeji zangu ambao aliwaita, akasema kwamba angependa kumkumbuka marehemu mume wake akiwa na watu kadhaa, Mama Maria Nyerere hana makuu yeye alitaka jambo dogo tu,"- Makongoro Nyerere

#Miaka100YaMwlNyerere.

View attachment 2197480
Salma Kikwete anazingua sana. Mme wake kaliibbia taifa mabilioni ya shilingi na bado anaendelea kutuibia awamu ya sita kutumia mgongo wa hawala yake aliyeko madarakani. Wamejenga vituo vya lake oil nchi nzima mpaka vichochoroni. Ufisadi ni ushetani
 
Back
Top Bottom