Akiongea na East Africa Radio leo kuhusu maadhimisho ya Miaka 100 ya Nyerere, Makongoro Nyerere ametoa “kifumbo” ambacho wachambuzi wa mambo wanahusisha na kauli ya mama Salma Kikwete kuhusu mafao ya wenza wa marais.
"Mama Maria Nyerere kama siku 14 zilizopita nilipata taarifa kutoka kwa shemeji zangu ambao aliwaita, akasema kwamba angependa kumkumbuka marehemu mume wake akiwa na watu kadhaa, Mama Maria Nyerere hana makuu yeye alitaka jambo dogo tu,"- Makongoro Nyerere
#Miaka100YaMwlNyerere.