Hivi miaka yote vita ya Unga inanza tokea akina Amina chifupa haikonekana? ndipo useme makonda kaanzisha vita hii? hakuna Nchi Duniani wanapigana vita kwa kutajana majina hovyo hovyo kienyeji kama mbinu ya makonda, style yenu ni ya kishamba sana na huwafanya wauza unga kuficha unga na kubadili mbinu za kuingiza unga na hata kwenda kujificha kisha kupandikiza list feki kwa makonda na kuwaacha wauza unga olijino mitaani, ngojea utajwe na wabaya wako ndipo utajua uchungu wa kutajana majina kienyeji.Hii vita ni kali sanaa
Ningekua Rais ningenyonga watu wengi saana.
Ni bora kubaki na raia milioni 20 kuliko milioni 50 ili kusudi hii nchi hii iende mbele. Inakuakua vipi mtu aanzishe kitu kizuri tena chenye manufaa kwa jamii halafu baadhi ya wanajamii hao hao walio wachache wanakipinga.
Ombeni nisije kua rais...Mwafwaaaaa