mickie mouse
Member
- Jan 18, 2016
- 16
- 5
Afu leo makonda katatua tena mgogoro wa kiwanda cha nywele,na wafanyakaz wakakubaliana nae na kuamua kurud kazn
Madaktari na madesi pia wasafiri bure ni watu muhimu sanaMimi naona ni Good idea, Kama mwanajeahi au askari anasafiri bure.. Kwa nini mwalimu asidafiri bure na yeye? Wawe na vitambulisho tu... Mwalimu ni mtu muhimu sana ...
Hebu ongezeni mishahara wa wafanyakazi wote wa umma, achen ujinga huu wa huyu bure yule alipe. Hiyo kodi mtawasamehe? Wanafunzi je?I like the idea
Kwanini walimu?makonda ana hoja nzuri tatizo ni namna ya kuitekeleza...
Unamsafirisha bure alafu unakata kodi kwenye kamshahara kakeMkuu wa wilaya ya.kinondoni amesema yupo kwenye mpango wa kuwezesha walimu kusafiri bure kwenye daladala kwenda kazini kama njia ya kuwasaidia kuwahi na kuwapunguzia makali ya maisha.
Makonda ameyasema hayo wakati wa hafla ya kumuaga mke wa raisi mwl Janet Magufuli ambaye amekiri kuwa kwa sasa anamajukumu mengi hasa yakumsaidia mheshimiwa raisi.
Sasa hapa najiuliza hawa wamiliki wa magari watakubali? Na je walimu watakuwa na unifomu.au watalazimika kila wakati kuonesha vitambulisho? Na je hilo litakuwa suluhisho la kudumu? Na je watumishi wengine wao watajisikiaje ? Source Azam tv- habari ya saa 2 usiku.
Ni sawa ana nia njema ,tatizo lipo hapo kwenye kitambulisho ,kama mtu anagushi cheti cha form 4,6, chuo na anapata kazi BOT wanakamatwa kwa kughushi vyeti serikali inashindwa kuthibitisha kama sio vyeti halali ,matokeo yake watuhumiwa wanaachiwa huru ,,itakuaje kwa hivyo vitambulisho vya walimu ???Mimi naona ni Good idea, Kama mwanajeahi au askari anasafiri bure.. Kwa nini mwalimu asidafiri bure na yeye? Wawe na vitambulisho tu... Mwalimu ni mtu muhimu sana ...
Hii nadhani ndio ingetakiwa iwe hivyoSI WAWANUNULIE MABASI SPECHEL KWA AJILI YA WALIMU,ila walimu wawe wanachinga mafuta ila selikali pia igharamie
Hahahaah kweli ni udhalilishaji kimtindo kama wanajeshi wanavyodhalilishwadawa pekee ya haki na heshima kwa walimu ni kuwaongezea pesa ya nauli kwenye mshahara wao , hili jambo ni udhalilishaji mkubwa sana , mwanafunzi alipe 200/- halafu mwl na midevu yake bure !
Ata kama una chuki binafsiMkuu wa wilaya ya.kinondoni amesema yupo kwenye mpango wa kuwezesha walimu kusafiri bure kwenye daladala kwenda kazini kama njia ya kuwasaidia kuwahi na kuwapunguzia makali ya maisha.
Makonda ameyasema hayo wakati wa hafla ya kumuaga mke wa raisi mwl Janet Magufuli ambaye amekiri kuwa kwa sasa anamajukumu mengi hasa yakumsaidia mheshimiwa raisi.
Sasa hapa najiuliza hawa wamiliki wa magari watakubali? Na je walimu watakuwa na unifomu.au watalazimika kila wakati kuonesha vitambulisho? Na je hilo litakuwa suluhisho la kudumu? Na je watumishi wengine wao watajisikiaje ? Source Azam tv- habari ya saa 2 usiku.
Ndio hapo inabidi Makonda Asugue kichwa kuona kuwa atafanyaje?Ni sawa ana nia njema ,tatizo lipo hapo kwenye kitambulisho ,kama mtu anagushi cheti cha form 4,6, chuo na anapata kazi BOT wanakamatwa kwa kughushi vyeti serikali inashindwa kuthibitisha kama sio vyeti halali ,matokeo yake watuhumiwa wanaachiwa huru ,,itakuaje kwa hivyo vitambulisho vya walimu ???
Kaka na maisha yao ni yale yake hayajabadilikaAta kama una chuki binafsi
..walimu wavumilivu.mimi primary nimesoma Mburahati. Mpaka mwaka huu kuna walimu bado wapo Shule ya msingi Mburahati..mimi nilimaliza 1988..But these Ladies wapo pale.**** YOU
Mbona mjeda na midevu yake bure...dawa pekee ya haki na heshima kwa walimu ni kuwaongezea pesa ya nauli kwenye mshahara wao , hili jambo ni udhalilishaji mkubwa sana , mwanafunzi alipe 200/- halafu mwl na midevu yake bure !