ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,304
Haya bana madam wewe ndiye baba yake unamjua zaidi.hakuna Mheshimiwa anayeitwa Makonda, makonda aliyepo ni mwizi na tapeli wa vyeti na ambaye kwa sasa kwa sababu ya uswahiba tusioujua baina yake na Mkuu wa Serikali ameendelea kubaki madarakani.