Lambardi
Platinum Member
- Feb 7, 2008
- 17,904
- 20,210
Sasa RC ataanza kuwasumbua Mkuu Wilaya Ilala Na Temeke kuwa mbona hawaonekani kwenye maigizo ya sukari? Ina maana hawakamati sukari hata mfuko 1 watangaze? Nadhani inabidi wajistukie utoto na ujinga wao! Wilaya ziko kibao....agizo la rais wamelichukulia sivyo wametafsiri kivyao na makosa matupu! Unakamata sukari kwenye ICD? Huo si wehu?