Makonda kumbuka kuna kesho

Yaani MTU aache kutimiza wajibu wake kisa mnamtishia kuwa kuna kesho?
 
Wanao mpinga makonda inaonekana wote watumiaji na makontena kwa nn jambo kama hili tusimuunge mkono au unaona raha unavyowakuta vijana balabalan wakisinzia huku wamesimama plz tuunge mkono swala hili tuache siasi

JF watu wanafikiri tofauti sio kupinga kudumisha fikra za viongozi wenu Ni huko huko kwenye vyama vyenu.
 
Kumbe Lowasa alistaafishwa au alivuliwa uwaziri mkuu na kina Mbowe?

Sasa MAISHA nayoishi KIKWETE leo baada ya kustaafu yanafanan na wewe??....Hahta hiyo KESHO ya MAKONDA itaendelea kuwa VIZURI tu.....MSIHISHI KWA KUMEZESHWA MANENO NA HAO WANASIASA ndimi mbili.....
Mfano kina LISSU NA MBOWE walipokuwa wanamtukana LOWASSA wao walijua LEO hii watakuja kumlamba MIGUU????....na je MAISHA ya LISSU na MBOWE kipindi wana mtukana LOWASSA na LEO yanatofauti gani????....FANYA YAKO KIJANA.....tATZO HAPA KUBWA NI KUHUSISHWA KWA mbowe KWENYE HILI....ndio maana kelele kila kukicha...
 
"MARINDA MTATUKO" mko wengi sana aisee....
 
Back
Top Bottom