Makonda haya maisha yana mwisho utashuka utatukuta

Ndio maana bado nasema na nitaendelea kufurahia uongozi bora nchini, nyie wafata mkumbo mnatia aibu nchi yetu. Maneno kabisa hata yamekosewa kimakusudi ya acc. ambayo sio ya RC, bado nyie wasomi mnasema yake. LIVE!? Duh

Mnafungulia uzi na mds hao wanauangalia sababu naona wengi, mnatamani uandikwe na RC jembe wa taifa Mh. Bwana Makonda.

Mnaosema mna akili hamjui hata kudanganya, mnatia aibu hata MI6, CIA, ISI na wengine hawawezi kabisa kuwapa kazi na wakawapa walioishia la saba. Yaani na nyie mnaosoma na kupumbazwa na ufeki na nyie hao mnamezwa, ndivyo inaonyesha mnataka kusikia mabaya tu na sio mengine.

Makonda oyeeeeeeee
TV Series znakudanganya wewe....
Kila comment unayoweka MI6 mara CIA unajiona una akil za kijasusi kumbe hata IQ ya taira haujaifikia....
 
Ukiibeba bunduki ina wastani wa kilo tatu (na kuendelea).. lakini vyeti vya elimu hata vikiwa vinne kwa ukubwa wa a4 havizidi robo kilo. Sasa kipi rahisi? Kubeba mibunduki au kuweka vyeti kwapani hadi studio na kuonesha umma kuwa unasingiziwa?
Hivi bado hauamini kwamba vyeti havipo!
 
Hahhahahahahha naona unataka kuoa kwa Wamachame,mbona siye hatuwezi kukubali kuolewa na watu wenye akili pumbavu kama wewe?Kajaribu kwa Makonda huko umekosea.

Aliyeandika ni Makonda period.
Nitaleta posa nikuoe wewe mkuu sema mahari sh ngapi pesa sio tatizo kwangu tatizo ni matumizi
 
Nimesoma thread ya Bw.Mkubwa Paulo Makonda akiwakebehi wote walioguswa Na tukio la Uvamizi alilolifanya ijumaa katika Ofisi za Clouds FM.Bwana mkubwa huyo amediriki kuwasema baadhi ya viongozi eti wamekalia uongo badala ya kumwunga mkono vita vya madawa ya kulevya wamekakia kumsema yeye.Tunamwuliza Na yeye Kule Clouds ule usiku Na lile jeshi Na mabunduki alikwenda kuwakamata wauza madawa ya kulevya au alipeleka uongo wake? Tunamkumbusha Makonda Mpanda ngazi ni lazima ashuke IPO Sikh atashuka atatukuta huku chini tuliko.Kina Makongori Nyerere walizaliwa Ikulu Leo wako wapi? Ridhiwani Kikwete yuko wapi tunakusubiri kiongozi.
Achana na hiyo misemo yako ya kizamani,hata kama hoja yako ni ya msingi,usikariri kuwa kila mpanda ngazi huwa anashuka kwenye maswala ya mafanikio ,wengine kaa ukijua huwa hawashuki,kwahiyo unavyofikiri kukaa ikulu kwa Rihiwani ilikuwa ni kufanikiwa?au unafikiri kuwa kwake mtaani pamoja na wewe kuwa ameshuka kimaisha!kaa hapohapo ukiendelea kuwasubiria wenzio washuke ili nawewe upande.
 
ungejua mpaka Tundu Lisu anakujaga kwangu kuniomba ushauri jinsi ya kufanya siasa na kuendesha kesi zake ungekubali ndoa hata bila mahari

Labda siyo TL tunayemjua,Kaka yake mwenyewe anamuadmire mdogo mtu,labda unamfundisha Makonda namna ya kuvunja Katiba tunajuaje?
 
Labda siyo TL tunayemjua,Kaka yake mwenyewe anamuadmire mdogo mtu,labda unamfundisha Makonda namna ya kuvunja Katiba tunajuaje?
ndio huyo huyo unaemjua muulize nani aliemfundisha siasa......halafu leo anatutisha..
 
kwakweli amefanya jambo abao haijawahi tokea hapa ichini tukiwa tunaona matifa mengine nasi hapa tanzania kwakweli hapo haki haipo ila tusimame kitete ili kukabiliana tu
 
Ndio maana bado nasema na nitaendelea kufurahia uongozi bora nchini, nyie wafata mkumbo mnatia aibu nchi yetu. Maneno kabisa hata yamekosewa kimakusudi ya acc. ambayo sio ya RC, bado nyie wasomi mnasema yake. LIVE!? Duh

Mnafungulia uzi na mds hao wanauangalia sababu naona wengi, mnatamani uandikwe na RC jembe wa taifa Mh. Bwana Makonda.

Mnaosema mna akili hamjui hata kudanganya, mnatia aibu hata MI6, CIA, ISI na wengine hawawezi kabisa kuwapa kazi na wakawapa walioishia la saba. Yaani na nyie mnaosoma na kupumbazwa na ufeki na nyie hao mnamezwa, ndivyo inaonyesha mnataka kusikia mabaya tu na sio mengine.

Makonda oyeeeeeeee
hata clouds haikuvamiwa na makonda..wamemsingizia tuu..hahaha. ila kama alivamia kwel ni uozo kuliko huo unaouita uozo. so anaweza kufanya uozo wa aina yyte
 
ndio huyo huyo unaemjua muulize nani aliemfundisha siasa......halafu leo anatutisha..

Kwa hiyo ulimfundisha huyo Dogo Makonda siasa za kipumbavu hivyo halafu,anakuja huku na visjisifa vya kipumbavu duh kweli kuwa CCM ni shida
 
Kwa hiyo ulimfundisha huyo Dogo Makonda siasa za kipumbavu hivyo halafu,anakuja huku na visjisifa vya kipumbavu duh kweli kuwa CCM ni shida
shida iko CHADEMA aisee sasa hivi Lema haelewani na meya wake Lazaro hata salamu hakuna...hicho chama ni shida
 
shida iko CHADEMA aisee sasa hivi Lema haelewani na meya wake Lazaro hata salamu hakuna...hicho chama ni shida

Hahahhahahahahhahah maneno ya mkosaji hayo.Mmetengeneza bifu nyingi imeshindikana,wakati jana walikuwa wote .Pole ila kikubwa acha fitina
 
Nimesoma thread ya Bw.Mkubwa Paulo Makonda akiwakebehi wote walioguswa Na tukio la Uvamizi alilolifanya ijumaa katika Ofisi za Clouds FM.Bwana mkubwa huyo amediriki kuwasema baadhi ya viongozi eti wamekalia uongo badala ya kumwunga mkono vita vya madawa ya kulevya wamekakia kumsema yeye.Tunamwuliza Na yeye Kule Clouds ule usiku Na lile jeshi Na mabunduki alikwenda kuwakamata wauza madawa ya kulevya au alipeleka uongo wake? Tunamkumbusha Makonda Mpanda ngazi ni lazima ashuke IPO Sikh atashuka atatukuta huku chini tuliko.Kina Makongori Nyerere walizaliwa Ikulu Leo wako wapi? Ridhiwani Kikwete yuko wapi tunakusubiri kiongozi.
Nasikia mende ana mbio sana na mbio zake anaziweza akiwa wapi vile?
 
anaandika kwasababu hana akili nzuri daudi bashite kama alilazimisha watu na studio yao waonyeshe shilawadu hashiindwi kunya hadharani daudi wala hana akili hata kidogo kwavile anaweza kumchezea akili magufuli anadhani anaweza kutuchezea wote akili atukome kabisa na wewe pia utumie akili makonda is a common criminal ambaye ameweza kucheza na akili ya magufuli na atamcheza kwa miaka yoote atakayokuwa madarakani amemvua nguo heheheh hapa wakisimama majukwaani tunawaona mpaka maungoni viva makonder
Nyie watu mmetekwa akili zenu, hivi chujio la common sense limetoboka au halipo kabisa huko kichwani??
Unaamini kabisa huu uozo umeandikwa na Pail Makonda!! Duh, nyie kama ni kuwatawala basi muendelee tu kutawaliwa na kina mbowe maana upstairs ni empte!
 
Back
Top Bottom