Makonda awaponza Star Tv na Sahara Media mbele ya TEF

Kwa mfanyabiashara yeyote makini, 'Bashite' wa sasa ni mtaji mkubwa kwenye media.

Ninakuhakikishia hicho kipindi kitavunja rekodi kwa kuwa na watazamaji wengi.

Hoja ya msingi, ni nini kitatokea kama Star TV wataonyesha hicho kipindi?
 
Kwa hyo wewe .ukiwa na adui,unataka na mimi niwe adui yake.sioni hoja hapo.
Inategemea katika wat sense huo uadui hawez adui aliyekutukania baba yako na kutaka kumdhalilisha na kumuua mbele ya watu alafu wewe ukasema rafiki yako.. change avatar yako utanielewa nachoongea
 
Njaaaa haina baunsa, mlimbwende ama mtanashati!!

Hata hapa , JF ile wiki ya kwanza baada ya kikao cha wahariri na waandishi wa habari ulikuwa ukiandaka jina la mkuu huyo inakuwekea nyota ili kulificha jina.

Mbona sasa hivi mtu akiandika hakuna tena zile nyota!?

Njaaaa tupu.

Star TV na Sahara media pigeni kazi.
 
Hawa SAHARA MEDIA walishajifia , namuomba Balile TEF waachane nao tu wafe kifo kitakatifu na Bashite wao,
 
Ha haaa haaaa kituo chenyewe star TV!
Hata ang'ang'ane vipi bado itakuwa ngumu kurudi kwenye peak!
Hivi kuomba radhi kunagharimu nini?
Basi kama alikuwa na shughuli maalumu kwanini asingesimama kutolea ufafanuzi kilichompeleka clouds na mitutu!
 
Back
Top Bottom