Makonda awaonya wanawaweka ndani kwa kuwa wana kero zinazowasumbua

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Sep 4, 2019
1,520
4,376
📌📌 MAKONDA ABAINISHA ZAIDI YA TSH BILIONI 6 ZINATUMIKA KWA MRADI WA UMEME WA JK. NYERERE, KUFIKIA MWEZI MARCH MITAMBO MIKUBWA KUUNGANISHWA

Asema tunakwenda kupata ongezeko la zaidi ya Megawati 2000 za Umeme

Katibu wa Halmshauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda katika kueleza dhamira ya Chama Cha Mapinduzi ya kuhakikisha kero ya Kukatika kwa Umeme inakuwa historia kwa Watanzania, amesema amebainisha kuwa kupitia Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa walimuita Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Ndugu. Doto Biteko na alieleza mikakato ya serikali juu ya kumaliza tatizo la kukatika kwa umeme na ukamilishwaji wa miradi mikubwa ya umeme na hauweni kwa gharama za upatikanaji wa umeme ikiw ni pamoja na wananchi wote kuunganishiwa umeme Vijijini.

Akieleza mbele ya Maelefu ya Wananchi wa Muheza , Mwenezi Makonda amesema kuwa Naibu Waziri Mkuu Biteko ametoa ahadi na kukihakikishia Chama Cha Mapinduzi ya kwanba hadi kufikia mwezi Marchi kati ya mitambo mikubwa ya umeme 8 hadi 9 itaunganishwa na kutetsiwa ilikusudi Watanzania kuanza kunufaika kupata umeme zaidi ya Megawati 2000.

Mwenezi Makonda amesema kuwa dhamiria ya Mwenyekiti wa CCM na Rais Dkt. Samia ni kuhakikisha kero hii na kilio kikubwa cha umeme nchini inaondoka kwani wananchi wengi wanategemea shughuli nyingi za kiuchumi zinazotokana na umeme.

Aida, amesema zaidi ya Trilioni 6 za kitanzania zinaendelea kufanyia kazi katika mradi wa Julius Nyerere ilikusudi kuhakikisha lengo na dhamira ya Rais Dkt. Samia inafikiwa.

Mwenezi Makonda ameyasema hayo leo tarehe 21 Januari, 2024 alipokuwa akihutubia Wananchi wa Muheza Mkoani Tanga akiwa katika muendelezo wa ziara yake ya mikoa 20 back to back.

#CCMKazini
#VitendoVinaSauti
#KaziIendelee
 
MAKONDA ABAINISHA ZAIDI YA TSH BILIONI 6 ZINATUMIKA KWA MRADI WA UMEME WA JK. NYERERE, KUFIKIA MWEZI MARCH MITAMBO MIKUBWA KUUNGANISHWA

Tushakuzarau wewe huyo Mbulula wako na Uzi wako utadoda
 
Muwe mnawapongeza watanzania waliolipa kodi na mikopo mnayochukua mnalipia kupitia misururu ya kodi na tozo.

How on earth Makonda akatoa trilioni 6 kufadhili mradi?

Kiongozi aliyefeli integrity test kwenye mali na fedha zake hana moral probity kuzungumzia fedha sababu hatuwezi kumuamini.

Huyu ni fisadi, mwizi ,mtekaji na muuaji
images (32).jpeg
images (33).jpeg
 
MAKONDA ABAINISHA ZAIDI YA TSH BILIONI 6 ZINATUMIKA KWA MRADI WA UMEME WA JK. NYERERE, KUFIKIA MWEZI MARCH MITAMBO MIKUBWA KUUNGANISHWA

Katibu wa Halmshauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda katika kueleza dhamira ya Chama Cha Mapinduzi ya kuhakikisha kero ya Kukatika kwa Umeme inakuwa historia kwa Watanzania, amesema amebainisha kuwa kupitia Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa walimuita Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Ndugu. Doto Biteko na alieleza mikakato ya serikali juu ya kumaliza tatizo la kukatika kwa umeme na ukamilishwaji wa miradi mikubwa ya umeme na hauweni kwa gharama za upatikanaji wa umeme ikiw ni pamoja na wananchi wote kuunganishiwa umeme Vijijini.

Akieleza mbele ya Maelefu ya Wananchi wa Muheza , Mwenezi Makonda amesema kuwa Naibu Waziri Mkuu Biteko ametoa ahadi na kukihakikishia Chama Cha Mapinduzi ya kwanba hadi kufikia mwezi Marchi kati ya mitambo mikubwa ya umeme 8 hadi 9 itaunganishwa na kutetsiwa ilikusudi Watanzania kuanza kunufaika kupata umeme zaidi ya Megawati 2000.

Mwenezi Makonda amesema kuwa dhamiria ya Mwenyekiti wa CCM na Rais Dkt. Samia ni kuhakikisha kero hii na kilio kikubwa cha umeme nchini inaondoka kwani wananchi wengi wanategemea shughuli nyingi za kiuchumi zinazotokana na umeme.

Aida, amesema zaidi ya Trilioni 6 za kitanzania zinaendelea kufanyia kazi katika mradi wa Julius Nyerere ilikusudi kuhakikisha lengo na dhamira ya Rais Dkt. Samia inafikiwa.

Mwenezi Makonda ameyasema hayo leo tarehe 21 Januari, 2024 alipokuwa akihutubia Wananchi wa Muheza Mkoani Tanga akiwa katika muendelezo wa ziara yake ya mikoa 20 back to back.

#CCMKazini
#VitendoVinaSauti
#KaziIendelee
Hili zigo linamlemea
Screenshot_20231111_190308_Google~2.jpg
 
Back
Top Bottom