Ndalama
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 8,787
- 6,536
Na wewe unayetumia sura ya bandia?- yaani wewe uneytumia majina ya bandia una haki ya kuulizia vyeti vya wengine? makubwa haya hahahahahahaha
le Mutuz
Na wewe unayetumia sura ya bandia?- yaani wewe uneytumia majina ya bandia una haki ya kuulizia vyeti vya wengine? makubwa haya hahahahahahaha
le Mutuz
Tusije kuwa tunahangaika na robotAchana na mipasho wewe babu
kama limekatwa, basi afikishwe mahakamani kutokana na kufanya uhalifu wa kununua cheti na kukitumia.Bashite ameshatonywa kuwa jina lake limekatwa ndiyomaana ameanza kulia-lia kama toto.
Mshauri aonyeshe vyeti vyake hadharani na aufunge huu mjadala. Mimi umeshanichosha, na tumeuchoka wote.- Amuonyeshe nani vyeti? hahahahahahahahha
le Mutuz
nashkuru kwamba nimekufilis huna hoja.,Usilolijua ni kama usiku wa Giza!
Hulijui neno kaa kimya!
- Kumbe hapa Bongo tuna Miungu anayejua nani anatafsiri Biblia sawa sawa na nani anakosea? Duh JF bwana siku hizi inao mpaka Miungu U know hahahahahahaha
le Mutuz
Le mpumbuz- Amuonyeshe nani vyeti? hahahahahahahahha
le Mutuz
Vp Mzee Mama kupata maulaji naona umeanza kujipendekeza kwa konda akupe rift- Amuonyeshe nani vyeti? hahahahahahahahha
le Mutuz
Agenda kuu ya, Ccm mkuu- hahahahahahaha ndio agenda mpya ya Chadema hiyo kwa Taifa? hahahaha
le Mutuz
Akikujibu uje uchukue kinana mbili za baridiYes kupinga matumizi ya vyeti feki ni sehemu ya agenda za Chadema.
vipi Bashite huko South Africa amefikia nyumbani kwa your super friend Kinje??
Likiisha la vyeti linafuata la kithibitisha kama MARINDA bado yako intact..hili na wewe umo...- Amuonyeshe nani vyeti? hahahahahahahahha
le Mutuz
Mbona akiwa na masheikh msikitini hamtaji wala kumsifu Yesu Kristo?