Makonda ajadili anguko la elimu Dar

Th
Ni katika kikao cha RCC na ametaka hatua za haraka zichukuliwe kuepusha mapungufu yaliyosababisha anguko hilo.
Makonda amesema shule za Dar kufanya vibaya kwenye matokeo ya kidato cha nne alikijua mapema na kilisababishwa na baadhi ya maofisa waliomaliza muda wao
''Niliwahi kumuuliza ofisa elimu mmoja kuhusu changamoto za walimu wake akasema hafahamu mpaka mwenyewe akamuulize kwanza mwenyekiti wa chama cha walimu, nilishangaa sana''
Alifafanua ndio maana alikataa kuonana na Ofisa elimu mpya wa Mkoa kwa sababu hakutaka kusalimiwa bali alikuwa anataka mikakati.


Chanzo: Mwananchi

Mdau nini kifanyike kuboresha ufaulu wa mkoa wetu wa Mzizima?
i

This is a mockery, God have mercy on us AMEN
 
Wanafunzi wa Dar wamefaulu vizuri kabisa kama alivyofaulu yeye. Nao watapita njia zake hadi kupata nafasi kama yake. Why trouble!?
 
Tuhakiki vyeti vya viongozi wa mkoa wa dar kwanza.
Huu ni utahira wa kiwango cha changarawe.
Kwani vyeti ni kitu gani? hayo anayoyafanya yanahitaji vyeti gani?
Ivi mtu akiwa na vyeti alivyovipata kwa kuvua chu.pi we ndo utamuona jembe?
 
Hao waliopata zero kama yeye si awaite awafundishe mbinu za kufoji vyeti kisha kwenda mahakamani kuapa tuwe na akina Bashite wengi labda watatusaidia kwenye hii vita dhidi ya madawa ya kulevya!
Duh. Hii kiboko
 
RC hataki kisalimiana anataka mikakati hahahahahaha sasa mikakati si angekutana na wadau wa elimu akawaambia sababu za yeye kupata fafa wakamchukua kama case study

Yeye ni role model wa watoto wa dar like father like son
 
RC hataki kisalimiana anataka mikakati hahahahahaha sasa mikakati si angekutana na wadau wa elimu akawaambia sababu za yeye kupata fafa wakamchukua kama case study

Yeye ni role model wa watoto wa dar like father like son
Una uhakika alizungusha
 
Back
Top Bottom