Makomando wa Mmarekani wavamia Ngome ya Al-Qaeda nchini Yemen

Leo asubuhi makomando wa marekan wakishilikiana na makomando wenzao wa izrael wamefanya mashambuliz ya kushitukiza katika ngome za magaid ya al qaed na kuua magaid zaid ya mia moja jesh la marekan linadai kuwa komando wake mmoja alipoteza maisha na watatu kujeruhiwa

Hii inaonesha ni namuna gan trump kaanza kutumia nguvu nyingi kupambana na makundi ya kigaid ya kiisilamu
 
kama sio msomi basi jaribu hata kuiga kwa wasomi! Hakuna makundi ya kigaidi ya kiislam bali ni makundi ya kigaidi tu! lakini pia haiwezekani kushinda kwenye vita dhidi ya magaidi kutumia nguvu kidogo!
 
Back
Top Bottom