Make It Rain,ni neno linalotumiwa na wamwabuduo shetani katika kutafuta pesa

Hakuna shetani tena?
Another discussion..siwezi kupingana na wewe maana hilo ni suala la kiimani zaidi

Kila kitu ni suala la kiimani, kama si hivyo nitajie kitu kimoja ambacho si suala la imani.
 
acheni kumpa promo shetani haya ni maneno tu yakiimanisha mvua ya pesa
 
"We are in Your presence, make it rain, ooh Your rain let fall on me, open the fllodgate in abundance and cause Your rain to fall on me, oohh babaa ooh......"" Ni wimbo mzuri sana wa kumwabudu mungu.
 
"We are in Your presence, make it rain, ooh Your rain let fall on me, open the fllodgate in abundance and cause Your rain to fall on me, oohh babaa ooh......"" Ni wimbo mzuri sana wa kumwabudu mungu.

Na ule mwingine unaimbwa hivi "open the floodgates of heaven make it rain...make it rain"
 
Back
Top Bottom