OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 52,948
- 117,870
Msisitizo kwamba Tutafute hela ni wa kweli. Cheki makazi ya maana kabisa. Sio wewe unaenda kujenga kijijini kwenu huko Singida bado unaenda kubanana karibu na sokoni
Tena gari lenyewe tata, halafu ni chakavu.mbona naona gari tu
Aha ha ha da siyo Kwa kujihami hukoTena gari lenyewe tata, halafu ni chakavu.
(Najua kuna mtu ataniuliza, baba yako analo)
Shida ya makazi ya kiafrica mwaasisi akifa na makazi yanakufa piaView attachment 3185453
Msisitizo kwamba Tutafute hela ni wa kweli. Cheki makazi ya maana kabisa. Sio wewe unaenda kujenga kijijini kwenu huko Singida bado unaenda kubanana karibu na sokoni
Mla punda nilijua lazima tu unamaindKwanini umetaja singida kenge wewe... Si ungetaja hata tarime huko huko au Bunda
mbona naona gari tu
😂🤣😂🤣😂nyumba hatujaiona
sisi masikini tunasema
UZURI NA YEYE ATAKUFA😂