Ile ni nafasi nyeti na ni kubwa sana katika ngazi za UTUMISHI hapa Tanzania,ina changamoto nyingi na inahitaji uzoefu wa mambo mengi,sidhani kuwa unaweza kuajiriwa katika post hiyo bila ya kuwa na uzoefu mkubwa wa utendaji serikali katika ngazi tofauti na sidhani kuwa kuna nchi au kampuni yoyote inayoweza kumpa mtu cheo kikubwa sana katika nchi/kampuni bila ya kuwa na cv nzuri za utendaji katika ngazi tofauti.Sasa Mpanju hata ukuu wa Idara sidhani kuwa ameshawahi kushika.NI MAWAZO YANGU TU LAKINI!!
Naheshimu mawazo yako lakin tambua hakuna sehem ndogo kuliko nyingine na kila sehem n tofauti na nyinge huwez kusema mefanya kazi kwa mfano bank NMB na ukaendaCRDB ukawa vizuri haipo hiyo. Watu wote tupo sawa ktk nyadhifa mbalimbali so usihof kukaa kwake pale atapata uzoef hatareee na atafanya vizuri sana. Kama utakumbuka baadh ya Post za Mtatilo na Polepole na Kitila Mkumbo walionhelea kwamba Rais sio lazima afanye kaz zote yeye maana ana wataalam wengi sana chin yake so anaweza delegate naye akowa anajifunza namna kaz zinavoendeshwa mkuu. Hivo bas ondoa shaka kabisa.
Hata ww jiandae kupewa kitengo maana n mwendo wa kushtukiza tu mwaka huuu.
Kuna nafas za wakuu wa wilaya, mikoa , wakurugenzi, afisa tawala wilaya na mkoa, ajira n nying sana ili mrad uwe na vigezo. Hii serikali nmeipenda kwa kuangalia vigezo stahik na sifa za mtu husika.