Makapuku haina impact, tokeni huko mje kupanuliwa mawazo!

Waulize member wananijua sana ila mimi sijasajiriwa sababu sijui kosa langu.
 
Wanachojadili Kule pumba tupu, Haina tofauti na maskini walioamua kujitenga

Nafikiri wanaimarisha umaskini wao zaidi
 
Huwa nashindwa kuelewa kuwa mtu achukizwa vipi na jambo lisilomhusu.....!!!??

Mimi sio mhusika wa huko kwa hao makapuku lakini sihangaishwi na hilo kwa kuwa humu ndani kuna vyumba vingi vya kufurahia JF....

Let others do their things....and you do your things.....
 
Sisi tunamsikiliza MAXENCE MELO na staff yake tu na kutii sheria za KF
nyie watoa povu hamtubabaishi kwa lolote nyie wapangaji tu humu JF km sisi
Pigeni makelele mkichoka mkalale
Inferiority complex
 
Nice said mkuu. Vijana wanafurahia kule tatizo liko wapi? Au ni hizo likes ndo zinaleta wivu.

Ni yale yale unakuta mtu anamlalamikia mtu eti anaposti vitu vya kijinga kila mara. Mbona usimblock tu halafu ukaachana naye. Oooh Radio hii wananiudhi. Umelazimishwa kusikiliza?​
 

Nadhani mkuu watu wa aina hiyo lazima watakuwa na mtikisiko wa ubongo.....
 
Kinachofurahisha hata ktk hii thread yako kuna wataokuja comment kwa kuandika maneno mawili matatu ya shit then.....watakula likes za kutosha.jama mie sipo mrengo wowote nimetoa wazo kama mwanaJF.
 

Sisi tunamsikiliza MAXENCE MELO na staff yake tu na kutii sheria za JF
nyie watoa povu hamtubabaishi kwa lolote nyie wapangaji tu humu JF km sisi
Pigeni makelele mkichoka mkalale
Dah...
Dhaifu....Dhaifu....Dhaifu...Dhaifu...Dhaifu.....Dhaifuuuuuuuuuuuuuu........
 
Kwanza kitendo cha kujiita "Kapuku" ni ishara kuwa Kichwani hazijaa vizuri
 

Tupe link tuwone hao wenye likes nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…