Makapuku haina impact, tokeni huko mje kupanuliwa mawazo!

Sisi hata uwe mkongwe hatukuzuii kushiriki ilimradi usije kwa shari tu na mtu asijifanye STAR ......Kuna wakongwe wanajisikia na wana midomo michafu na dharau utafikiri JF ni ya baba zao HAO NDO HATUTAKI URAFIKI NAO DAIMA

Karibu KF njoo tuongee kulekule
Waulize member wananijua sana ila mimi sijasajiriwa sababu sijui kosa langu.
 
Wanachojadili Kule pumba tupu, Haina tofauti na maskini walioamua kujitenga

Nafikiri wanaimarisha umaskini wao zaidi
 
Huwa nashindwa kuelewa kuwa mtu achukizwa vipi na jambo lisilomhusu.....!!!??

Mimi sio mhusika wa huko kwa hao makapuku lakini sihangaishwi na hilo kwa kuwa humu ndani kuna vyumba vingi vya kufurahia JF....

Let others do their things....and you do your things.....
 
Sisi tunamsikiliza MAXENCE MELO na staff yake tu na kutii sheria za KF
nyie watoa povu hamtubabaishi kwa lolote nyie wapangaji tu humu JF km sisi
Pigeni makelele mkichoka mkalale
Inferiority complex
 
Huwa nashindwa kuelewa kuwa mtu achukizwa vipi na jambo lisilomhusu.....!!!??

Mimi sio mhusika wa huko kwa hao makapuku lakini sihangaishwi na hilo kwa kuwa humu ndani kuna vyumba vingi vya kufurahia JF....

Let others do their things....and you do your things.....
Nice said mkuu. Vijana wanafurahia kule tatizo liko wapi? Au ni hizo likes ndo zinaleta wivu.

Ni yale yale unakuta mtu anamlalamikia mtu eti anaposti vitu vya kijinga kila mara. Mbona usimblock tu halafu ukaachana naye. Oooh Radio hii wananiudhi. Umelazimishwa kusikiliza?​
 
Nadhani mkuu watu wa aina hiyo lazima watakuwa na mtikisiko wa ubongo.....
 
Kinachofurahisha hata ktk hii thread yako kuna wataokuja comment kwa kuandika maneno mawili matatu ya shit then.....watakula likes za kutosha.jama mie sipo mrengo wowote nimetoa wazo kama mwanaJF.
 
95aea69f466709d7b646e83cdebd67f4.jpg

Sisi tunamsikiliza MAXENCE MELO na staff yake tu na kutii sheria za JF
nyie watoa povu hamtubabaishi kwa lolote nyie wapangaji tu humu JF km sisi
Pigeni makelele mkichoka mkalale
Dah...
Dhaifu....Dhaifu....Dhaifu...Dhaifu...Dhaifu.....Dhaifuuuuuuuuuuuuuu........
:cool::cool::cool::cool:
 
Kwanza kitendo cha kujiita "Kapuku" ni ishara kuwa Kichwani hazijaa vizuri
 
Leo nilikuwa nafanya data analyais, nikasema ngoja niangalie hawa members wenye most likes wana michango gani?

Nilishangaa kuona kati ya member kumi wenye most likes, nane ni makapuku.
Na kinachotokea hapo hata member akiandika, 'good nite mabest', woote wanalike.
So nikaona kuwa members wengi wamejijengea profiles kubwa kwa haraka haraka kwa 'njia za haramu'.

Yani ni sawa na mwanafunzi karuka darasa la saba na kupewa PhD. Matokeo yake sasa unakuta mtu msomii ila kichwani ni mweupe kama '****** wa Magu'.

Wito wangu ni kwa Makapuku kutumia mda mwingi zaidi ili kujijengea uwezo wa kuandika thread na kujibu hoja.

Kama unabisha, kaangalie members wenye most likes, wengi wana thread zisizozidi tano. Ina maana hawa jamaa bado ni wachanga kwenye gemu na hawana uwezo wa kutosha kutatua matatizo ya jamii nje ya Makapuku Forum.

Tupe link tuwone hao wenye likes nyingi.
 
Back
Top Bottom