Makapuku Forum

Mimi nipo na Husna
20169c5830ce446c933f023bd4290ac3.jpg

Si unaona mkoba wake

.....
75c9ffacf1d6ead73451faccc260fa93.jpg
bitoz nyangema kwenye ubora wake
 
THE DOM

Sehemu Ya 20

Mtunzi..... MoonBoy

Simu No. +255714419487 WhatsApp

Instagram....

Ilipoishia Jana →↓↓↓↓←

SON OF PRESIDENT GU

"huyu boy ni hensamu kweli, kazuri mno.. Ana mdomo. Mzuri"
Leah alijiongelea katika moyo wake huku akimuinamia sahi mdomoni kama vile anataka kumpa denda, wakati huo leah kamkalia sahi tumboni,... Sahi alihisi joto linazidi katika uso wake, kumbe ni leah keshafikisha karibu, ile sahi anafungua macho tu anakutana na mdomo wa leah tayari umeshaungana na wakwake,.. Hajakaa vizuri mara chuchu zikaanza kumchoma katika kifua chake, chupi laini alioivaa leah pia ni kiungo mkabaji kwa sahi.... Sahi aliupokea mdomo wa leah bila kupenda...
"yaani we kidume ukiniacha nitaamini wewe sio rijali,.. Siko tayari kulala chumba tofauti na wewe,... Naomba niwe mkeo kwa usiku wa leo, tafadhali sana boy"
Aliongea leah kwa suti ya chiniiiii, wakati huo sahi hana ujanja tena, apana chezea mapenzi wewe hata kama ni kichaa lazima usisimke tu
"lakini le... "
Sahi alizibwa mdomo baada ya leah kusikia neno lakini, akajua kuna pingamizi hapo, hivyo kamuwahi kumziba mdomo
"sihitaji maneno tena sahi,.. Kama kweli umekubali kuwa nami usiku wa le, naomba ufanye kwa vitendo na sio maneno,... Chupi yangu mzigo wako uishindwe mwenyewe kuivua,... Nami boxer yako mzigo wangu.. Niache niivue nitakavyo"
Maneno tu, sahi alilainika, hata mlenda umesingiziwa

ENDELEA.........

Leah alijua tayari keshamkamata sahi, yaani anajua hakuwa na ujanja tena, chezea mitoto ya kitanga wewe? Utaishia pabaya, watoto wanajua mapenzi utafikiri wamezaliwa nayo, kumbe wamejifunza tu juu juu,... Huezi amini sahi katulia tuli, wakati huo leah yupo juu ya kifua cha sahi,..
"nahitaji vitendo sahi please"
Leah alimaanisha anahitaji vitendo vya kuvuliwa nguo, mana badoa likuwa na ile ile chupi aliojivisha mwenyewe chumbani kwake,..
Sahi alilegea legeee, jamani nyie achaneni na mapenzi, tena ukiwa hujayapata muda mrefu, yaani siku ukiyapata utatamani hata kufa,..

Leah alipoona sahi hafurukuti, alimuachia kisha akambua boxer yake,.. Jamani leah ni mzuri na uzuri wake unazidi pale anapokuwa kitandani, macho yake pua yake iliochongoka kama jiwe la zege.. Leah alitahamaki luona Zakaria ya sahi, kweli alijaaliwa sio utani
"sahi, hii alama hapa ni ya nini"
Leah aliiona ile alama iliopo pembezoni mwa uume wa sahi, wakati huo zakari imenyooka kama mwiba vile, sahi kadatishwa eti, ata haijulikani kashikwa wapi,.. Yaani katulia kama kapigwa ganzi, jamani mitoto ya kitanga naichukia kqeli kweli, mapenzi gani haya mpaka mtu hajitambui..
Leah aliona sahi kazidiwa na mahaba mana alishikwa shikwa kigua chake na leah, alinyonywa chuchu zake, gaden love yake ilichezewa haswa... Ndio mana kadata haya kuongea haongea,.. Sahi alipata nguvu ya kumvuta leah mpaka kifuani kwake, tena aliivuta chupi karibia kuchanika
"ngoja basi nikusaidie kuivua jamani sahi"
Sahi hakutaka kuelewa, kamguza leah wa watu, mtoto mwenye sura kama kitoto kichanga, jamani kweli wazuri ndio wanaojiuliza, na wabaya wajitembeza kweli,.. Sahi aliona hata kinguo hicho kitachelewesha mambo,
"bwana, angalia usije ukanichania chupi yangu bwana.. Tena na ilivyo mpya"
Leah aliongea huku akiivua...
Lakini sahi alishangaa, yaani mtu ni malaya, changudoa lakini ana sehemu ndogo kuliko maelezo,.. Yaani hata nanii yake anaitilia mashaka kama itapita hapo,..
Leah alimaliza kuvua chupi yake na kuitupa huko, kama kawaida mtoto chini baba juu,.. Lakini ilishangaza sana leah kumiliki umbo dogo ingali ni changudoa, sahi hapati picha kamili, leah hakuacha kuleta tabu, na huyu ni mtu wa pili, kwanini na malaya tu wanaojiuza...
Leah alikuwa akijitahidi ili sahi amfurahie vizuri adate nae kwa mara nyingine tena, leah alikuwa akihisi maumivu lakini alijitahidi ili sahi asije kukata tamaa,....

Mambo yalienda vizuri, mtoto leah yupo hoi,... Huyo sahi ndio Usiseme hata haitamani tena, wakati huo ni saa saba za usiku,... Akiwa kamkumbatia sahi aliopitiwa na usingizi mzito...
Leah alikuwa analia sana kujijutia kuwepo katika mazingira kama yale, leah machozi hayaishi machoni mwake,.. Yaani nusu siku tu ilimanya aijutie kazi ya umalaya...

Ilipofika asubuhi mida ya saa tatu hivi, leah akiwa ndio anaanda supu safiiii, yaani leah aliamka kabla ya sahi, na sahi bado kalala mpaka sasa hivi, lakini leah yupo jikoni tayari kwa kuandaa supu,..
Kila kitu alimaliza sasa ni saa ya kumuamsha baba watoto, jamani nafasi anaitamani sana mwanadada leah

Huku chumbani sahi anaamka,.. Lakini alishangaa kitanda kizima kimejaa chupi tu, ukumbuke jana walizichangua wakati sunnati likhububu,.. Sasa zimetapakaa kitandani, sahi alianza kuzikusanya huku akisema
"wanawake bwana, sasa alishindwaje kuziweka sawa hizi nguo"
Alikuwa akiongea huku akizipanga vizuri nguo hizo,.... Masikini leah anatoka huko kuja kumuamsha sahi, anamkuta anapanga chuoi zake,.. Leah alizidi kuumia, anatamani hata awe mume wake,....

**************************************

"Mume wangu, amka ufanywe supu"
Aliongea lea, huku akimuamsha mume wake kwa tabasamu zito,
"baby.... Baby, supu ya leo tamuu"
"tangulia naja"
Aliongea sahi huku akiamka kiuvivua sana,...
Sahi alimkuta mama la mama yupo. Jikoni, alimshika kiuno huku akimwambia
"niliyasikia mapishi yako, toka nikiwa usingiziniiiiii"
Aliongea sahi wakati huo kamshika mkewe kiuno,
"kwa uongo wewe, sikuwezi jamani"
"naomba nionje kidogo basi mke wangu"
"heeeee, jamani mume wangu.. Supu ipo mezani kule twende"
"sitaki, nataka hio hio unayo ilambalamba hapo"
"iiiiii we nawe, haya lamba sasa"
"heeee nilambe kupitia mdomo kwako"
"sasa je"
"haya lete"
Basi leah akaweka kitoweo hicho katika ulimi wake kisha akawa anampa sahi kwa kitumia mdomo wake, ilimladi wanyonyane denda,...

***********************************

"we leah utaumia wewe, unapeleka wapi domo lako ilo"
Aliongea sahi wakati akikusanya chupi,.. Sasa leo kumbe yalikuwa ni mawazo yake, kuwa keshakuwa mke wa sahi, sasa wakati wanalambishana, huku upande wa kweli, leah anapeleka mdomo mbele, ndio sahi akamuona na kumstua...
"twende ukaoge basi upate supu"
Sahi haamini kama tayari keshapikiwa supu, yaani ile nyama mbichi ya jana, leo imepikiwa supu,
"shika michupi yako"
Sahi alimpa nguo zake huku akifunga taulo, kuelekea bafuni,...
"sasa unaendaje peke yako jamani"
Aliongea leah wakati huo sahi anazidi kwenda tu,.. Leah alizitupa zile nguo na kuwahi bafuni ili aoge nae, yaani hampi chansi, kikubwa leah azoeleke kwenye akili ya sahi,..
"kwanini tuoge wote, afu jacuzzi dogo hili"
"nawe kqanini ulale na mimi usiku kucha ushindwe kuoga na mimi"
"leah unajua tutachelewa kwenda"
"ndio tuoge sasa tuondoke"
"ivi we kabila gani"
"msambaa"
"duuuuu kumne ndio mana upo kama chizi yan"
"sawa haina shida, lakini nataka nikuogeshe leo"
Sahi ana shida sana na huyo mwanamke hivyo hataki kumuuzi kwa wakati huo, ila wakimaliza kazi tu, asepe zake tena wasitake mazoea kabisaa... Basi leah nae ndani ya jacuzzi utoto kwake hauishi, sasa sahi anajikuta anazidi tu kumzoea taratibu sana,... Leah na lile umbo, ukijumlisha na jinsi vile alivyo jipakalia povu, yaani kawa mlaini hata mtoto mchanga kasingiziwa...

Kuoga kulinoga mno, sasa ile kushika shikana mara leah kamgusisha kalio mara wanashikana sehemu fulani, sasa saa ngapi sahi asianze ushetani,... Sahi katamani mkia wa leah, NADHANI NIKISEMA MKIA MNAELEWA NI NINI.. Leah akiwa kainama katika jacuzzi huku povu likimjaa mwilini, sahi alimsogelea karibu na kuanza kumshika shika upya, lakini safari hii sahi anataka mkia,.. Sasa leah yeye anajua sahi keshamtamani hivyo wacha ageuke ili ampe utamu wake, kila akigeuka sahi hataki agauke, mana kashikwa
"jamani sahi, ngoja basi nikurahisishie baby"
Leah keshaanza majina yake ya kimapenzi,..
Lakini sahi kakaza tu hataki leah ageuke, akae vile vile kama mbuzi,..
"leah, please naomba kichwa tu"
Sasa leah anashangaa, mtu anaomba kichwa tu na wakati jana aliliwa mwili mzima
"sawa ngoja basi nigeuke jamani"
"Nooooo,... Si unajua thamani ya kondoo hutokana na nini"
"najua, hutokana na mkia"
"basi mteja kapenda mkia"
Sasa leah ndio anajua kumbe sahi anataka kinyume na maumbile,.. Masini leah hajwahi hata kutaamkiwa hilo tendo, sijui kama alishawahi kufanya,...
"sahi, unamaanisha unataka huku"
"yes, kidogo tu leah"
"hapana... Sahi, siwezi kufanya hivyo.. Sijawahi hata siku moja yaani hata kutaamkiwa hilo jambo"
"kichwa tu"
"No, No, Siwezi sahi.... Sijawahi... Nitapata shida kupata mtoto.. Naomba endelea huku tu"
"leah, kwani hunipendi"
Leah kusikia hivyo, mmmhh alinyamaza kwanza,... Kisha akasema
"jamani sahi, nitaolewa na nani mimi nikifanya huko, wanaume wengi hawapendi wanawake wenye tabia hio"
"nitakuoa mimi"
Leah alitoa macho kama paka mwizi
Ila kama unavyojua wanaume tulivyo waongo
"Sahi unasema kweli?"
Leah aliongea hayo huku akikumbuka kauli ya mama yake mzazi ikisema kuwa
"MWANANGU, UNAKWENDA MJINI, LAKINI NAOMBA UJITUNZE MANA RAHA YA MWANAMKE NI KUOLEWA MAMA, SAWA"
alipomaliza kukumbuka kauli ya mama yake,.. Alimwambia sahi kuwa
"lakini mimi sijawahi jamani sahi, ntaumia"

Je? Nini kitaendelea???... Leah atakubali au atakataa, USIKOSE

ITAENDELEA.....
 
THE DOM

Sehemu Ya 21

Mtunzi..... MoonBoy

Simu No. +255714419487 WhatsApp

Instagram....

Ilipoishia Jana →↓↓↓↓←

SON OF PRESIDENT GU

Nooooo,... Si unajua thamani ya kondoo hutokana na nini"
"najua, hutokana na mkia"
"basi mteja kapenda mkia"
Sasa leah ndio anajua kumbe sahi anataka kinyume na maumbile,.. Masini leah hajwahi hata kutaamkiwa hilo tendo, sijui kama alishawahi kufanya,...
"sahi, unamaanisha unataka huku"
"yes, kidogo tu leah"
"hapana... Sahi, siwezi kufanya hivyo.. Sijawahi hata siku moja yaani hata kutaamkiwa hilo jambo"
"kichwa tu"
"No, No, Siwezi sahi.... Sijawahi... Nitapata shida kupata mtoto.. Naomba endelea huku tu"
"leah, kwani hunipendi"
Leah kusikia hivyo, mmmhh alinyamaza kwanza,... Kisha akasema
"jamani sahi, nitaolewa na nani mimi nikifanya huko, wanaume wengi hawapendi wanawake wenye tabia hio"
"nitakuoa mimi"
Leah alitoa macho kama paka mwizi
Ila kama unavyojua wanaume tulivyo waongo
"Sahi unasema kweli?"
Leah aliongea hayo huku akikumbuka kauli ya mama yake mzazi ikisema kuwa
"MWANANGU, UNAKWENDA MJINI, LAKINI NAOMBA UJITUNZE MANA RAHA YA MWANAMKE NI KUOLEWA MAMA, SAWA"
alipomaliza kukumbuka kauli ya mama yake,.. Alimwambia sahi kuwa
"lakini mimi sijawahi jamani sahi, ntaumia"

ENDELEA........

Yaani leah kwa fundisho alilolipata kwa siku jana na yule mama, akichanganya na kauli ya mama yake mzazi aliomwambia siku wakati ndio anakuja mjini,...
Aliona kuolewa ndio ishu ya mjini, tena anaitamani ndoa sana tu sema uchangudoa alio nao ndio balaa kwa wanaume waoaji,.. Kweli ni mzuri na ana umbo zuri lakini kazi yake jamani umalaya tupu,..

"lakini mimi sijawahi jamani sahi, ntaumia"
Aliongea leah huku kweli akimgeuzia sahi mkia, kweli leah alikubali kitoa mkia ili aolewe na sahi, sasa uliona wapi mwanaume akaoa mwanamke mtoa mkia,.. Sahi kila akiingiza mtoto wa watu anashtuka kama kwamba ni kweli hajawahi kufanya tendo hilo,.. Kila akiguswa leah hatulii,..
"nini leah"
"nimekwambia sijawahi sahi, nionee huruma basi taratibu"
"sawa..... Ayaaaaa... Kalete kondom kwenye mkoba wako leah"
Sahi aliongea hayo huku akikumbuka zinaa bila kondom haifai,... Sasa sahi kasahau jana kamla mtoto wa watu nila kondom, na mbaya zaidi leah ni changudoa, tena member haswa,...
"mimi sina kondom jamani sahi"
"sasa kazi yako unaifanyaga vipi,.. Inamaa wanakukula bila kondom"
"sahi, mimi sio malaya kama unavyofikiria sema sina cha kujitetea kwakuwa umenikuta katika mazingira yale"
"aaahhh we malaya mi siwezi kukufanya bila kondom"
"sasa sahi jamani, mbona jana umenibabadua raundi nne nzima bila kondom"
"leah unasemaje we malaya"
"jana hatujavaa chochote"
"mungu wangu leah ushaniua aisee,.. Leah ujinga gani umefanya lakini we malaya??... Kutwa kucha una wanaume afu unakuja kunipa mdude wako bila kondom kwanini lakini leah"
"sahi mimi nipo salama"
"salama ya baba ako.... we fara nini wewe, ivi una akili wewe bwege"
"sahi... Nipo tayari tukapime uhakikishe, mimi sio malaya sahi"
"sitaki uniambie usenge wako"
Sahi alikasirika sana hata hamu ya mkia hakiwa nayo tena, yaani hatamani mkia wala wa masikio,...
"nisamehe basi"
"yaani kama sio kuitafuta dom wewe ningekuchapa risasi ufilie mbali hiko"
Unajua jana sahi alidatishwa na mtoto wa kitanga, kadata mpaka kasahau kuulizia kondom,.. Akajikuta anafanya kavu kavu, mbaya zaidi leah ni changudoa tena member kabisaa.....
Leah alimaliza kujisuuza sahi kwani hata anakumbuka hilo,.. Katoka na povu lake akajifuta tu
"njoo ujisuuze basi jamani"
"afu wewe, sitaki mazoea na wewe.... Tena lazima tukapime,... Ole wako ukutwe nao, yaani leo nabeba bastola, yaani ukisemekana unao tu.. Sikuachi"
"sawa, beba hata bastola mbili, unipige kote kote"
Aliongea leah kwa kujiamini mno,...
"nenda kavae twende mbwa wewe,..."
"supu je"
"aiseee wewe, ivi unanijua vizuri"
"basi yaishe"
Leah kaingia chumbani kwake ili kubadili nguo,.. Sahi hana hata hamu na supu tena, haaa mtu anaejiuza leo utembee nae kavu kavu, heeeee sahi haamini macho yake, yaani haamini kabisaa... Masikini supu iliwekwa mezani inaachwa ivyo ivyo ilivyo, leah akiangalia supu alioipika ikapikika, leo hainyweki tena,.. Waliiacha hapo mezani kisha wakapanda gari wote kulekea hospitalini,... Anaetakiwa kupima ni leah mana sahi akipima hatoonekana kuwa nao kama kaambukizwa... Mana ni leo tu, ila leah ndio wa kupima,.... Walitoka nje ya geti na kulifunga kwa rimoti,...

Sahi alikuwa na hasira ya ukweli ukweli, yaani leo kitaumana huko hospitalini.... Haikuchukuwa muda wakawa wamefika katika hospitali moja hivi ndogo iliopo jirani na ostabei,.... Waliingia hospitali hapo na kumuona dokta mkuu,
"za saa hizi dokta"
Alisalimia sahi wakati huo sahi ana hasira lakini alionyesha sura ya bashasha
"salama kijana hali yako"
"nzuri tu"
"Enhee niwasaidie nini na mama"
Dokta aliongea hivyo akizani ni mkewe, kumbe ni kahaba fulani tu..
"aahhh tumekuja kujua afya zetu"
"ooohhh vizuri sana kijana, uamuzi mzuri sana... Yaani kwa jinsi mlivyo naanza na nyie, mana mumenifurahisha sana"
Aliongea dokta huku akichukuwa zana za kazi kwa ajili ya kuanza kuwapima wawili hawa,.. Leah hakuwa na wasiwasi kabisa yani utafikiri alikuja kupima jana,...
Basi walipimwa wote kisha wakapewa dakika chache wakae mahali,

Huku Ikulu kwa Mheshimiwa rais aliokuwa akipiga simu kwa General wake mkuu wa majeshi,..
"hallo, nyange"
"ndio mheshimiwa rais"
"nakuhitaji uje ikulu kesho"
"kuna nini mr President"
"amri yangu hua haina maswali"
Raisi alikata simu kisha akatafuta namba nyingine, hatujui ni nani

Sasa huku kambini, TMA wakiwa wamekaa watu watatu,.. General nyange, General Deo, na Joseph John ambae ndio mkuu wa pili wa kitengo cha TSS kule jijini Dar es Salaam, sasa hapa yupo arusha..
"baba yako kanipigia sasa hivi tu"
Aliongea General Nyange kwa kumtaarifu Joseph ambaye ndio mtoto wa rais GU, huku akiwaonyesha wenzie namba za mkuu wa nchi,....
"amesemaje"
Aliuliza Joseph, huku akiwa na wasiwasi kuwa tayari wameshajulikana... Lakini kabla Nyange hajajibu, ghafla simu ya Joseph inaita...
"aaahhh mbona ananipigia"
"nani huyo, ni raisi"
"ndio, ni baba"
"mpokelee"
Joseph aliipokea simu ya baba yake, wakati huo ni uoga mtu aliokuwa nao
"haloo mr daddy"
"sitaki cha Daddy wala konyagi... Nataka kesho saa tatu kamili nikuone Ikulu mara moja"
Kabla Joseph hajauliza simu ilikata kisha ikaita kwa generally deo,... Yaani kila mmoja alio onekana kwenye ushahidi lazima apigiwe simu, kasoro wanafunzi tu, mana anajua hawa wamekokotwa tu... Wote walipigiwa simu wafike Ikulu, na mbaya zaidi walikuwepo wote wakati wanapigiwa kila mmoja...
"mzee nyange, hili ni jipu hili, yaani hapa hatuna chetu tena"
Aliongea Joseph ambae ni kijana mdogo sana, ila ana cheo kikubwa mno,... Yeye mavazi yake ni suruali nyeusi na shati jeupe, kisha na tai nyekundu, huyo ndio Joseph hata kwenye kava tunaona picha hio,.. Ila sahi yeye ni mzee wa nguo nyeusi tu, na ndio mana akaitwa BB (Black Boy)
"ni kweli, yule kijana ni hatari sana"
Aliongea mr deo, huku Joseph akidakia kuwa
"mbaya zaidi yule ni mtoto wa General nyange"
Aliongea Joseph huku General nyange akiwa kimya
"ndio, mtoto wake ndio katuchoma"
Kwa sasa sahi keshajulikana kiwa sio sahi, bali ni sheby ambae ni mtoto wa General nyange,..
"lakini huu sio wakati wa kulaumiana, hata mimi sijui kama ni mtoto wangu, nyie ndio mnaniambia hivyo"
"sasa kama sio mtoto wako ni nani"
"mimi najua mtoto wangu alishakufa"
"ok Tuachane na hayo,... Mzungu wa dom anasemaje"
Aliuliza Joseph mana yeye ndio kiungo mkabaji kwenye dom
"mzungu amesema dom ni feki, na anahitaji dom original, nami najua tu ile tuliompa yule kijana ndio dom original, na ni lazima awe nayo tu"
Aliongea general nyange, huku akitamani hata kulia yani,...
"sasa atatupatiaje hio dom"
Aliuliza Joseph Wa John huku General nyange akiumiza kichwa jinsi ya kuipata dom....
"yes, nimepata wazo... Lazima tuipate, na tukisha mkabizi mzungu, sioni haja ya kuwepo Tanzania tena"
Aliongea general nyange huku general deo katulia tu,... Joseph akauliza
"ni wazo gani umelipata mzee"
"tulia kijana... Sasa wewe pambana kuitafuta Codes za dom original, mana tumeshaipata tayari"
"tumeipata kivipi general"
"we kalete codes zake kama ulivyoleta dom"
Aliongea mr nyange kwa kumbembeleza Joseph.... Sasa hapa ndio tunapata picha kuwa Joseph ndio alioiba ile dom kule BOT, mana ana cheo kikubwa na istoshe ni mtoto wa raisi,...
"sawa, nitaifanyia mpango hio codes, lakini kuwa makini General"
"usijali"
Sasa katikati ya maongezi mara General deo kauliza swali
"ivi huo wito wa ikulu inakuaje jamani"
Aliuliza mr deo, lakini nyange akamjibu kwa utaratibu....
"nani aende,... Yule kijana tayari keshatuchomea, yaani tunakwenda kitumbuliwa hadharani mbele ya wananchi,... Siendi ng'ooo"
"hata mimi siendi"
"basi hata mimi siendi"
Wote walikataa kwenda ikulu hapo kesho, na hapo ndio wamesha asi jeshi, tayari wapo kinyume na amri ya mkuu wa nchi,...
Mpaka hapo tayari wako nje ya utumishi wa nchi...

Huku hospitalini sahi akiwa na wasiwasi juu ya vipimo walivyopima pinde tu hapa hospitalini,...
"leah umeshaniua eti"
"mimi mwenyewe nina wasiwasi na wewe sahi"
"tena usinijibishe ujue, ntakuzaba bao sasa hivi eti"
"basi yaishe"
Sahi ana hasira na leah sema kwakuwa tu ana kazi nae hivyo anamstahi tu,...
"mnaweza kuja wapendwa"
Leah ndio wa kwanza kuamka baada ya kauli ya dokta kuwaita waingie ndani
"kwanza nawapa pongezi kwa uamuzi mliouchukuwa"
"Ahsante sana dokta"
Alijibu leah wakati huo sahi moyo juu juu, yaani changudoa kama huyo kukosa gonjwa ni kitu kisicho wezekana,..
"labda mnaweza kuniambia nani kawapa ushauri wa kuja kujulia hali afya zenu"
"dokta, naona maswali mengi sana, ebu tupe hayo majibu tukafie mbele uko"
"ok.. Samahanini sana,... Kiukweli afya zenu ni nzuri, hakuna mwenye gonjwa hata mmoja... Ila mjitahidi kula vyakula kama matunda matunda hivi, ili kuziboresha damu zenu, mana damu ya huyu dada ni damu yenye kupatwa na magonjwa kiurahisi, hivyo kuleni matunda kwa wingi,.. Ila msiache kuja kupima kila baada ya miezi mitatu"
Sahi haamini yani, mana uzima wa leah ndio uzima wake yeye,...

Waliondoka hapo na kupanda katika gati
"umeamini sasa mimi ni mzima"
Aliongea leah, huku akimrembulia sahi
"sina haja na mcho yako.... Sasa sikia hapa tupo kikazi zaidi,.. Safari inaazia hapa hapa"
"kwa muda huu, hatutofika leo, ni bora tulale tuende kesho"
"gari ni yangu, tutakapofikia nitakupangishia gest ukalale mi nitalala kwenye gari"
Leah roho ilimuuma sana, mana tayari keshampenda sahi, yaani anatamani hata kuolewa nae,..
"sahi, kwanini ulale mbali na mimi... Nimeshaujua utamu wako, kwanini tusilale wote"
"mapenzi na wewe sitaki tena"
"sahi, nakubaliana na maneno yako... Lakini nakuomba pale unapota nafasi ya kuoa mke wa pili, naomba unioe mimi,... Najua nyie Waislamu mnaruhusiwa mke zaidi ya mmoja, nipo tayari kukutumikia kama mkeo, na shivaz siendi tena... Naomba uwe mme wangu sahi, hata mimi nahitaji kuolewa jamani,... Please, niwe mke wa pili hata watatu, lakini nihakikishe nina mume ambae ni wewe"

Je? Sahi atamjibu nini Leah??? Na je? Wanapokwenda watamkuta Sauda, na je wataiona dom?? USIKOSE

ITAENDELEA.....
 
THE DOM

Sehemu Ya 22

Mtunzi..... MoonBoy

Simu No. +255714419487 WhatsApp

Instagram....

Ilipoishia Jana →↓↓↓↓←

SON OF PRESIDENT GU

Sahi haamini yani, mana uzima wa leah ndio uzima wake yeye,...

Waliondoka hapo na kupanda katika gati
"umeamini sasa mimi ni mzima"
Aliongea leah, huku akimrembulia sahi
"sina haja na mcho yako.... Sasa sikia hapa tupo kikazi zaidi,.. Safari inaazia hapa hapa"
"kwa muda huu, hatutofika leo, ni bora tulale tuende kesho"
"gari ni yangu, tutakapofikia nitakupangishia gest ukalale mi nitalala kwenye gari"
Leah roho ilimuuma sana, mana tayari keshampenda sahi, yaani anatamani hata kuolewa nae,..
"sahi, kwanini ulale mbali na mimi... Nimeshaujua utamu wako, kwanini tusilale wote"
"mapenzi na wewe sitaki tena"
"sahi, nakubaliana na maneno yako... Lakini nakuomba pale unapota nafasi ya kuoa mke wa pili, naomba unioe mimi,... Najua nyie Waislamu mnaruhusiwa mke zaidi ya mmoja, nipo tayari kukutumikia kama mkeo, na shivaz siendi tena... Naomba uwe mme wangu sahi, hata mimi nahitaji kuolewa jamani,... Please, niwe mke wa pili hata watatu, lakini nihakikishe nina mume ambae ni wewe"

ENDELEA........

Wahenga walisema kuwa UOGA WAKO NDIO UMASKINI WAKO, na wengine pia wakasema kuwa KUJARIBU NI KUZURI KULIKO KUACHA KABISA, hii ikiwa na maana ya kwamba unapokuwa na shida ya kitu fulani basi acha uoga, na ustake kuacha ni bora kujaribu ili ijulikane umeshindwa au imeshindikana, lakini UMEJARIBU,

Kwa upande wa mwanadada Leah alijaribu kutupa karata yake ya mapenzi kwa sahi, yaani kukaa na sahi kwa siku moja tu, kumempa mafunzo aliotakiwa kuyapata mwaka mzima, lakini kayapata kwa siku moja tu,....
Kila kona anapokwenda anaonekana kuwa mke wa mtu, na hata hapo walipo ni hospitalini walipokuja kupima pia dokta aliwaona ni kama mke na mume, hivyo kwa muonekano huo leah kaitamani sana hio nafasi japo haiwezi kuja kwake... Masikini ya mungu hapo leah kavaa kiheshima yaani ile kimama mama kabisaa, hata wenzake wakimuona watashangaa, mtu aliokuwa akivaa vinguo vya kutega wanaume leo kavaa kimama mama kabisa, ni kitu cha utofauti katika macho ya watu waliomzoea leah....

"heee, ivi unaongea pumba gani wewe,.. Mi sijawahi kusikia changudoa anaolewa"
Aliongea sahi huku akifunga mkanda tayari kwa kuianza safari,...
"kwasababu mimi sio mwanamke si ndio"
"wewe ni mwanamke ila kazi ulionayo ndio itakayokunyima haki ya kuolewa"
"ni kweli, lakini mimi siku hivyo unavyfikiria sahi"
"bwana wewe, funga mkanda twende, kwanza sina hata wazo la kuoa hata huyo mke wa kwanza"
Aliingea sahi huku akiwasha gari yake tayari kwa safari,... Kweli safari ilianza lakini leah anajutia sana kutotulia kimaisha na kujiingiza katika kazi ya ajabu inayomnyima haki za kuolewa... Mana hakuna mwanaume atakae oa mwanamke changudoa... Tena wanaume wenyewe ndio hawa wa sasa hivi, wana dharau kama mbuzi dume alionusa mkojo... Safari ya kuelekea Magima ndani ndani huko ilianza, ikiwa ni majira ya saa tano za asubuhi, na uzuri ni kwamba wana gari yao... Lakini leah alishngaa mbona sio njia wanayokwenda
"mbona unaelekea Airport sahi"
Aliuliza Leah huku akitaka kumwambia sio njia hio
"we ulifikiri tunakwenda kwa gari,.. Hapa ni mwendo wa kupaa tu"
Aliongea sahi huku akiingia katika njia ya airport,...
Leah kusikia wanapenda ndege, alijisikia raha sana mtoto wa kitanga tena ndani ndani huko, hajawahi kupanda ndege hata siku moja, hua anazionaga tu,.... Sasa alishangaa wao na gari yao wanaingia kwenye ndege, yaani walipanda ndege ya abiria ya kawaida lakini haikuwa na watu, sahi aliikodisha mwenyewe kikubwa waende na gari yao ili watakaposhuka basi ni safari moja kwa moja,... Waliingiza gari katika upande husika wa kuingilia magari, kisha wakatoka na kupanda upande wa abiria, yaani wanasafiri na gari yao, pipa linachanganya miguu tayari kwa safari ya kwenda tanga, kutoka jijini Dar es Salaam,

Huku nyumbani kwa General Nyange, ambako ni kwa mke mdogo,.. Akiwa mezani na familia yake tena ni jijini Dar es Salaam, alikuwa hana raha kabisa, sasa General ana mtoto wa kike, aliokuwa akiangalia Video fulani hivi alioirekodi,.. Yaani huyo mtoto wa kike chakula kinapoa mezani lakini yeye ni kuangalia video katika simu,..
"we aneth, mbona huli"
Aliuliza baba mtu ambae ni General nyange,.. Lakini kabla aneth hajajibu mara mama yake kajibu
"heeeee kumbe we unamuona leo, huyu mtoto ana wiki ya tatu sasa, kula kwake ni kwa uvivuu eti kisa kampenda huyo kijana anaemuangalia katika simu yake"
"ameshaanza mambo yake ya Facebook"
Aneth kuskia hivyo akaacha kuangalia kisha akamwambia baba yake kuwa
"baba, wewe si unapenda niolewe na shujaa wewe?, sasa nimempenda huyu shujaa"
"ahh peleka utumbo huko"
"baba si unamuona anavyo wapiga hawa wanajeshi"
Sasa aneth akawa amemuelekezea baba yake simu ili amuone huyo shujaa,...
Cha ajabu mr Nyange anavua miwani na kumwangalia vizuri shujaa huyo,.. Sasa aneth kuona baba yake anamuangalia kwa makini, akamwambia mama yake kuwa
"mama, unaona baba mwenyewe kamkubali"
Sasa kumbe shujaa mwenyewe ni sahi, masikini mtoto wa mr Nyange kumbe alikuwa akimuangalia sahi,.. Na video hio aliirekodi yeye pale Airport, kama unakumbuka sehemu ya kwanza sahi alipiga pale Airport, sasa huyu aneth nae alikuwa akitoka safari za nje huko, hivyo alipoona mapigano kama yale akarekodi,... Afu pia ukumbuka mlinzi wa rais alimpa taarifa rais kuwa, yeye alimwona mtoto wa General nyange pale... Kama unakumbuka ilikuwa ni kipande hiki hapa chini...

__________________________________
"mkuu, nimemwona mtoto wa General, yule wa kike na alionekana nae anatoka korea"
Aliongea askari huyo huku safari ikiwa inaendelea,....
"hakuna tatizo, hatojua lolote"
Aliongea raisi huku safari ikizidi kwenda
_________________________________

Sasa huyu mtoto waliomuona ndio huyu hapa sasa ambae hataki kula, yeye na kuangalia video tu
"we hii video,..."
Kabla mr nyange hajamaliza kuongea, mara aliona raisi akitokea huku akipiga makofi,... Sasa nyange ndio akaamini kumbe kweli yule kijana ni spy, mana kitendo cha kupigana na makomando watano wale hatari, ni dhahiri kuwa hata wanajeshi hawa wa kawaida hawafui dafu,.. Sasa General nyange akarudisha ile video nyuma,... Sasa baba ndio kageuka mtoto, hali chakula tena kagandana na simu ya mtoto wake kuangalia video
"heeeee na wewe pia umekuwa kama mtoto wako"
"kuleni tu,... Mimi naangalia vitu vya maana hapa"
Mara mama na mtoto wakacheka sana kwa kitendo cha baba kukaa vizuri ili aangalie video vizuri,...
"baba mkweo jamani mi napenda kuolewa na shujaa kama huyo"

Sasa general nyange aliporudisha nyuma video ile, kuna mahari sahi akatoa kitambulisho, lakini ile anatoa tu kikachukuliwa na askari wa rais, kama unakikumbuka hiki kipande hapa chini

__________________________________
Sasa ile anatoa tu kile kitambulisho ghafla kilinyakuliwa na askari wa rais,
"unafanya ujinga gani... "
Aliongea askari huyo huku akikificha kile kitambulisho, inaonekana huyu ndio mgeni wa raisi, lakini wale askari walitamani sana kujua kitambulisho cha kijana huyo
____________________________________

General nyange alicheka sana baada ya kukiona kile kitambulisho japo ni kwa mbali sana lakini alikiona, mana alirudisha nyuma kama mara tatu tatu hivi huku akiweka pozi ili aone vizuri, aliivuta ile video wakati sahi anatoa kitambulisho....
"ahahahahahahahahahahah, mtoto mshenzi sana huyu,..... Haya mama shika simu yako"
General alimrudishia mtoto wake simu, huku akicheka sana....
"baba umemuona shujaa wangu"
Baba kuskia hayo maneno akamfuata mtoto kwa hasira huku akisema
"acha ujinga aneth, yule ni kaka yako"
Heeeee wote walishangaa, kaka yake Kivipi, mama ndio mwenye maswali mengi, kwanini awe kaka wa aneth, ina maana ana mke mwingine wa tatu, mana mama huyu anajua wapo wawili, yeye ni mke wa pili, ila kuna mke wa kwanza lakini mke wa kwanza mtoto wake alifia vitani, sasa huyu nae katoka wapi...
"baba aneth, ina maana una mke mwingine"
"hapana mama aneth, huyu ndio yule mtoto wangu sheby"
"mtoto wako sheby"
"ndio"
"kivipi na wakati alikufa"
"hapana... Yupo hai, sema ni rafiki yangu mr President ndio kanichezea kamchezo juu ya mwanangu, na mpaka sasa nina vita vikali sana na mtoto wangu"
"mbona sikuelewi baba aneth"
"mr President kamtorosha mtoto wangu kwa kutumia akili yake... Mimi namjua yule tumesoma wote, tumeingia jeshini wote, sema mwenzangu akajitosa kwenye siasa na ndio mana sasa ni raisi, lakini alikuwa ni mwanajeshi kabla ya kuwa waziri wa ujenzi"
Aliongea mr nyange au generally wa majeshi yote Tanzania,..
"hahahahahahah, siamini kama kweli mtoto anamsumbua baba yake.. Hahahahahah, dom lazima ikae mikononi mwangu"
Aliongea generally Nyange huku akifurahi sana na kumpigia simu General deo ambae ni generally mwenzie, lakini huyu ndio General mkuu kuliko deo,...

Sasa huku kwa sahi anaesemekana ndio mtoto wa General nyange, lakini haijulikani kama ni kweli....
Sahi na leah walishafika tanga siku nyingi tu na sasa wameshika njia ya magoma huko ndani ndani,... Mana Dar es Salaam na Tanga hakuna umbali kama arusha mpaka tanga,.. Dar es Salaam to tanga ni karibu sana, hivyo akina sahi walisha shuka katika ndege na sasa wapo katika njia ya magoma,... Wakati huo saa zao zinasoma time ya saa 12 za jioni, sahi mwenyewe hajui hio njia afu mbaya zaidi leah kalala kwa uchovu wa safari kuwa ndefu,... Sahi hakutaka kuendelea na safari mana anaejua njia analala, sasa atelekezwa na nani,... Walifika kwenye kakijiji fulani hivi, wakaamua kupaki gari, na kutafuta nyumba ya kulala, almaarufu kama gest...

Dakika kumi mbele wapo ndani ya gest...
"duuuu gest haina hata maji khaaa"
Aliongea sahi huku akitafuta maji ya kuoga,
"maji yapo ukitaka, ila unaletewa"
"sasa tukitaka kuoga je"
"unaita maji, mtu analeta"
"duuuu... Kazi kweli kweli yani"
Sahi nae alichoka sana, hivyo walipata chakula ambacho kwa bahati nzuri kilibaki wakati wanakula mchana,...
"yaani sahi unalala kama gogo jamani"
"sasa wataka nilale vipi"
"hujui kama una mwanamke hapa"
"basi wacha mi nilale chini we lala hapo kitandani"
Walifanikiwa kupata chumba kimoja tu, mana vyote vimejaa japo ni kijijini,
"sina maana hio"
"ila"
"ina mana hunigusi leo"
"acha ujinga, kwanza kufanya na wewe jana niliteleza tu"
"eti eee"
"tena ngoja nikalale kwenye gari"
Sahi aliamaka na kuvaa suruali yake kisha akawa anatoka,... Leah alikwenda kumzuia huku akiwa kashika kanga moja kifuani,..
"we unataka makofi sasa"
Sahi aliongea hivyo huku leah akaiachia ile kanga na kudondoka chini,....
"ivi sahi, na uzuri wangu wooote, bado huvutiwi na mimi tu"
"leah naomba unipishe mlangoni"
"nami nasema hivi... Nakupisha, ila kwenda huko utakwenda mwenyewe, au lazima nikupoteze njia... Sawa, toka ukalale kwenye gari"

Je? Nini kitaendelea???... Sahi ataendelea kuburudika au ataenda kulala katika gari... USIKOSE

ITAENDELEA.....
 
THE DOM

Sehemu Ya 23

Mtunzi..... MoonBoy

Simu No. +255714419487 WhatsApp

Instagram....

Ilipoishia Jana →↓↓↓↓←

SON OF PRESIDENT GU

yaani sahi unalala kama gogo jamani"
"sasa wataka nilale vipi"
"hujui kama una mwanamke hapa"
"basi wacha mi nilale chini we lala hapo kitandani"
Walifanikiwa kupata chumba kimoja tu, mana vyote vimejaa japo ni kijijini,
"sina maana hio"
"ila"
"ina mana hunigusi leo"
"acha ujinga, kwanza kufanya na wewe jana niliteleza tu"
"eti eee"
"tena ngoja nikalale kwenye gari"
Sahi aliamaka na kuvaa suruali yake kisha akawa anatoka,... Leah alikwenda kumzuia huku akiwa kashika kanga moja kifuani,..
"we unataka makofi sasa"
Sahi aliongea hivyo huku leah akaiachia ile kanga na kudondoka chini,....
"ivi sahi, na uzuri wangu wooote, bado huvutiwi na mimi tu"
"leah naomba unipishe mlangoni"
"nami nasema hivi... Nakupisha, ila kwenda huko utakwenda mwenyewe, au lazima nikupoteze njia... Sawa, toka ukalale kwenye gari"

ENDELEA........

Sahi anaipenda sana dom, na asipoipata ana adhabu isiojulikana toka kwa mheshimiwa raisi, yaani adhabu haijatajwa na itatajwa pale atakapo shindwa,....

Huezi amini sahi hakutamani tena kwenda kulala katika gari, mana kuhangaika kote huku ni ili aipate dom,...
"siamini kama leo tena nafanya mapenzi na wewe"
Aliongea sahi huku akiwa kweli hana nia ya kulala na leah yaani ni kama anamlazimisha kufanya nae mapenzi kisa tu anatafuta dom...
"kwani mimi sio mtu sahi"
Aliongea leah huku akiivua chupi yake tayari kwa kuupokea mtalimbo wa sahi,..
"tena leo bila kondom leah"
"lakini sahi jamani si tumepima asubuhi na hakuna mgonjwa kati yetu"
Sahi hakiwa na ujanja juu ya hilo, yaani kikubwa aipate dom,..

Asubuhi na mapema gari ikiwa njiani tayari ilisha anza safari toka saa kumi na moja za asubuhi, na uzuri ni kwamba walikuwa wakikaribia kufika,
"yaani leah siamini kama umenifanya kuwa Sex machine yako eti"
"kwa ulivyo mtamu, bila kukutishia siwezi kukupata... Natamani kuolewa nawe, ila sio mbaya hata ukioa nipo tayari kuwa mchepuko wako"
"sawa"
Sahi yeye anaitikia tu, yaani akipata dom, hataki mazoea na mtu tena, yaani hataki kuskia cha leah wala tunza, yaani hataki tena,...

Leo huku jijini Dar es Salaam palikuwa na semina ya akina mama katika ukumbi uliopo mlimani City, na mgeni rasmi alikuwa ni mke wa rais, yaani mama yake Joseph,.. Sasa tukiachana na hii semina

Huku nyumbwkwa generally, sasa huku ndio kule kwa mke mkubwa sasa ambae kafiwa na mtoto wake wa kiume,.. General akiwa na watu wake wawili Joseph na General Deo, wote wapo jijini Dar es Salaam,..
"heeeeee mwanangu Joseph, karibuni"
Mama alimkimbilia sana Joseph kwakuwa alikuwa ni rafiki wa mtoto wake aitwaye sheby, yaani wamezaliwa siku moja tena wodi moja na wamesoma pamoja, wamekua pamoja,... Lakini Joseph hakuwa akifurahia kukaribishwa kule na mama na pia kati yao hakuna aliekuwa akicheka,...
"kwani kuna nini jamani... We baba sheby si nakuuliza"
Wote hakuna aliokuwa akiongea, kila mtu alikuwa kimya tena wamenuna mnoooooo

Tuje huku tanga walipo akina sahi,... Kwa bahati nzuri wamefika mapema mno kama majira ya saa tatu hivi za asubuhi,.... Walifika mahali gari halifiki katika hizo nyumba, hivyo walishuka na kutembea kwa miguu,..
Walifika kwanza kwa akina sauda na kumuulizia... Kwa bahati nzuri leah anajulikana mana ndio vischana vya kipindi hicho kabala hawajaja mjini,...
"leah jamani umekuwa mzuri... Hakika mama yako akikuona atafurahi sana eti"
Aliongea mama yake sauda, na wakati huo sauda alikuwa hayupo, sahi anatamani ampate huyo sauda
"Ahsante mama"
"shkamoo mama"
"marahaba baba huyo jambo"
"sijambo mama"
"karibuni jamani"
"Ahsante... Mama sauda yupo wapi"
Leah aliuliza huku mama akicheka
"hahaha, mwenzio maisha yamemshinda mjini karudi sasa kaenda shamba"
Sasa kabla leah hajaendelea kuongea mara sahi kadakia,
"shambani kwake ni wapi"
Sahi aliuliza kitendo kilichomtia wasiwasi mama wa sauda,...
"leah, kwani kuna nini"
Mama aliuliza kuwa kwani kuna nini, mana sahi kauliza haraka haraka mpaka mama akaogopa....
"hakuna kitu mama, sema si unajua sauda ni rafiki yangu hivyo nilikuwa nataka nimtambulishe rafiki yangu mpya"
Leah aliokoa jahazi kwa njia hio ya kujifanya sahi ni mchumba wake, sahi alikua anaharibu kwa uharaka wake mana mama akitia hifu tu, utashangaa sauda hatokei alipoenda
"jamani leah hongera sana mama angu"
Mama sauda alimpongeza leah kwa kitendo cha kupata mchumba...
"karibuni kwanza jamani hata mpate chai"
Mama alitoa viti huku sahi akikaa lakini hakutaka kukaa kabisa,... Alikaa kishingo upande tu hivyo hivyo,
Chai ililetwa na mihogo ya kuchemsha wakaanza kunywa ila sahi hajazoea maisha hayo,.. Lakini sasa atafanyeje mana yupo kazini hapo....

Sasa uzuri wa wamama wa kijijini, hua wana taarifiana kwa matukio mbalimbali,.. Sasa mama sauda kuona ugeni huu unakwenda kwa mama leah, aliona achepuke kwenda kwa mama leah ili ajiandae na ugeni,
"mama leah ivi una taarifa gani wewe"
Mama sauda alimuuliza mama leah aliokuwa kakaa kwenye mkeka huku akifuma vitambaa vyake,...
"sina taarifa yeyote ile mama sauda, kwani kuna nini"
"heeee, mama unaletewa mkwe mama"
"mkwe, naletewa mkwe na nani"
"leah kaja na mchumba wake, hivyo nimekuja kukushitua ili ujiandae usije ukakutwa shagala bagala hapa"
"mungu wangu, Afadhali umeniambia mama sauda... Hebu nijiandae"
Mama leah kaanza presha avae nguo gani impendeze, si unajua kijijini kule, wanavaa nguo nzuri mpaka siku ya tukio, sasa leo mtoto wake kamletea mkwe,... Laiti wangejua kilicho waleta, hata wasinge jisumbua kiasi hicho,..

Huku kwa mama sauda, akina sahi wakiwa wamemaliza kunywa chai,.. Mara mama sauda katokea na kuwapa taarifa,
"leah, mama anawasubiri kule"
Sasa leah akashangaa, huyo mama yake kapewa taarifa na nani kuwa yeye kaja,...
"haya mama tunakwenda"
Sahi yeye anaangalia ile njia ya kutoka shambani kama sauda anaweza kutokea hata kwa dawa tu,..

Leah anajua sahi wala haitaji hata kuwajua wazazi wake,.. Hivyo alimuacha sahi pale na kwenda kwa mama yake kumsalimia, mana angekwenda lakini ni mpaka ahakikishe sahi kampata mtu wake,. Sasa leah alipofika kwako, alikuta maandalizi ya viti, mkeka umetolewa ule mpyaaa, tena ule wenye mapambo, mama mwenyewe kavunja kabati ile mbaya... Sasa leah anashangaa upambaji huo veepe,.
"shkamoo mama angu"
"marahaba mama hujambo"
"sijambo mama"
"pole na maisha mwanangu"
"Ahsante mama angu, poleni na nyie huku"
"usijali mwanangu"
Laiti wamama wangejua kazi za watoto wao huku mjini, wasingesema kitu. Lakini sasa mama anashangaa mbona leah kaja mwenyewe kwanini, na wakati kaambiwa kaja na mwanaume
"we leah, huyo mkwe wangu yupo wapi"
Aliuliza mama huku akiangaza macho, sasa leah ndio akavuta picha Anhaaaa kumbe kupambwa kote huku ni kwasababu ya mkwe sio... Alijua ni mama sauda ndio kaja kuubwaga umbea huku kwa jirani yake,... Leah kichwa kinauma, mama yake kavunja kabati, katoa vitu vipya kwasababu ya baba mkwe,... Afu leah akifikiria yeye na sahi wakoje, ndio anachoka kabisa
"ahahahah mama, si unajua wanaonaga aibu, nilianza kuja mimi kwanza"
Aliongea leah huku akiwaza atamshawishi vipi sahi aje aonekane kama mchumba wake ili wazazi waridhike tu,... Alipata wazo moja,

Wakati huo sahi kaikodolea macho ile njia ya shambani, yaani sahi anawaza dom tu na sii kingine,... Mara leah katokea mbele yake, huku akiwa mpole,
"kaka sahi, nakuomba mara moja tuongee"
"aahh niache bwana... Mi stoki apa, mpaka nimuone sauda hapa"
"sahi... Nakuomba tu dakika moja tu"
"ongea tu nakuskiliza"
"hapana... Twende huku.. Ikiwezekana twende moja kwa moja mpaka shambani kwa sauda"
"acha utani leah, unapajua shambani kwa sauda"
"ndio.. Ila tupitie njia hii"
"twende sasa tusichelewe"
Sahi aliamka na kumshika leah mkono, lakini leah ana akili yake binafsi,.. Walifika mahari pana kagiza giza ka mahindi, yaani mahindi yametanda kwenye hicho ki njia.... Ghafla sahi anamuona leah kampigia magoti kabisa,...
"kaka sahi, nakuomba tafadhali sana... Japo swala hili wewe ndio umelisababisha wewe, nimemwambia yule mama sauda kuwa wewe ni rafiki yangu, ikiwa na maana mchumba wangu.... Lakini mama sauda kashindwa kuvimezea, kaenda kuwaambiwa wazazi wangi.. Sasa hivi nafika nyumbani nakuta kumepambwa, kuuliza naambiwa leah anamleta mchumba wake kumtambulisha.... Kaka sahi, nakuomba nitoe aibu kwa wazazi wangu, Please nakupigia magoti,.. Nakuomba uwe kama mchumba wangu jamani sahi Please"
Wakati huo leah analia kweli kweli huku akimshika miguu,... Lakini sahi yeye kanuna tu wala haongei,..
"kaka sahi, simaanishi uchumba kweli, nitolee aibu kwa wazazi wangu waliojiandaa kwa ajili yako... Naomba unisaidie sahi... Na kama ni hayo malipo ya wewe kunilipa mimi usinilipe tena, nilipe kwa kujifanya mchumba wangu"
Sahi aliinama chini na kuyaangalia machozi ya leah,... Sahi ni mwanaume, na ni mpelelezi mzuri, ni myu aneujua fikra za mtu kwa kumwangalia usoni,.....
Leah alikuwa akilia sana ili amuombe sahi akubali kiwa kama mchumba wake, ili tu wazazi wake waridhike kuwa mwanae kaja na mchumba,.. Yaani ni heshima kubwa kwa mschana wa kijijini kumleta mchumba kwa wazazi wake,... Yaani wazazi hua wanajisifu sana kwa kuzaa mtoto aliewatoa aibu,...
"kaka sahi, nakuomba... Na kama kunilipa huko haitoshi, basi nitakupa chochote ukitakacho sahi, nipo tayari hata kuwa kijakazi wako na usinilipe, lakini nitolee aibu kwa wazazi wangu,... Nakupigia magoti sahi, na miguu nakulamba baba nakuomba uwe mchumba wangu kwa dakika tano tu"
Leah aliongea huku akilia machozi, tena wakati huo anaangalia huku na kule Ghafla leah anamuona sauda kabeba jembe lake kichwani,.. Leah akajua sahi akimuona sauda hapa ishu yote itavurugika, na sahi ana hamu na sauda ile mbaya,... Sasa mama sauda nae hamezei jambo,.. Ile sauda anafika tu kwao anapewa taarifa za ujio wa rafiki yake
"rafiki yako leah kaja, yupo kwao sasa hivi... Tena mwenzio kaja na mchumba"
Sauda kusikia hivyo katupa jembe kule, kisha kaanza mbio za kuja nyumbani kwa akina leah, na njia wanayoombana akina sahi na leah ni hio hio anayokuja nayo sauda,.. Ukumbuke sauda nae alisha lala na sahi hivyo sijui patakuaje hapo....

Je? Nini kitaendelea??? Sahi atakubali kuwa mchumba wa leah?? Na je? Sauda akimuona sahi atafurahi au atachukia??? USIKOSE
 
Back
Top Bottom