Makanikia: Sura halisi za Tundu Lisu na Zitto Kabwe kujulikana kesho

najua wanasheria wetu watasema tuvunje mkataba na acacia na hatutashitakiwa ili tu kwenda kinyume na lisu,lakini baada ya hapo msilalamike bei ya umeme na mafuta vikipanda kufidia kulipa deni la kuvunja mkataba kibashite.
 
Report inayowasilishwa kesho itajielekeza kwenye kutuonyesha economic lmpact na kamati yake imeundwa na wabobezi wa uchumi na sheria. Sasa kama kweli Lisu na Zitto nia yao ni njema kwenye sakata hilii la makanikia basi kesho watakuwa uwanja wa nyumbani kwa mujibu wa taaluma zao. Kwenye ile ripoti ya Prof Mruma, hawa wanasiasa wawili walidandia treni kwa mbele na tunaweza kuwasamehe kwa kuwa Yale maji yalikuwa marefu kwao. Kesho ndio tutazijua rangi zao halisi maana wanasheria ni mabingwa wa kucheza na lugha, bado hatujasahau ya Richmond na BMK!

Wewe Mbweha una Maana hiyo.kamati imeundwa kwa ajili ya kuwajibu Lissu na Zitto sio ?
 
Wale jamaa huwa wajanja sana. Wakiongea huwa wanaacha na chochoro za kutorokea wakibanwa.
Wwngekuwa straight kwenye siasa zao tungewafaidi sana tatizo hawatulii ili kujua wanasimamia upande gani hasa..
Anytime they can change to any direction...
Watanzania wa leo wameamka toka usingizini. Hakuna cha Tundu Lissu wala Zitto katika hili la wizi wa madini yetu. MCHAWI wetu katika hili ni CCM na Serikali yake. Hawa ndo wamesaini mikataba mibovu na kupitisha sheria mbovu bungeni tena kwa hati za dharura huku wakiitikia kishabiki ndiyooooooooooooo!
 
Report inayowasilishwa kesho itajielekeza kwenye kutuonyesha economic lmpact na kamati yake imeundwa na wabobezi wa uchumi na sheria. Sasa kama kweli Lisu na Zitto nia yao ni njema kwenye sakata hilii la makanikia basi kesho watakuwa uwanja wa nyumbani kwa mujibu wa taaluma zao. Kwenye ile ripoti ya Prof Mruma, hawa wanasiasa wawili walidandia treni kwa mbele na tunaweza kuwasamehe kwa kuwa Yale maji yalikuwa marefu kwao. Kesho ndio tutazijua rangi zao halisi maana wanasheria ni mabingwa wa kucheza na lugha, bado hatujasahau ya Richmond na BMK!
Tafuta I suluhisho la makosa yenu kama kweli mmeamua kufanya masahihisho. Naona mnahama kutoka kwenye lile mlotuaminisha kulishughulikia nguvu zote mmezielekeza kuwakoga akina Lissu na Zitto.
 
Usiniii nikitu cha akili unaongojea report ambayo wakuu wameshapewa wakajidhirisha kuwa inawapa kikiiii na inaenda nawanachotaka ndio mnatangaziwa mwangalie ..tutumie kariongo wew kapige kazi wacha vidume visuguane..Ila nia ya mkuu ninjema sana
 
Report inayowasilishwa kesho itajielekeza kwenye kutuonyesha economic lmpact na kamati yake imeundwa na wabobezi wa uchumi na sheria. Sasa kama kweli Lisu na Zitto nia yao ni njema kwenye sakata hilii la makanikia basi kesho watakuwa uwanja wa nyumbani kwa mujibu wa taaluma zao. Kwenye ile ripoti ya Prof Mruma, hawa wanasiasa wawili walidandia treni kwa mbele na tunaweza kuwasamehe kwa kuwa Yale maji yalikuwa marefu kwao. Kesho ndio tutazijua rangi zao halisi maana wanasheria ni mabingwa wa kucheza na lugha, bado hatujasahau ya Richmond na BMK!
mkuu, haya maneno yako nitayaweka kwenye kwa ajili ya rejea miaka 2 ijayo tutakapoanza kulipa fidia za kijinga kwa kodi zetu.

CCM nchi imewafanya Watanzania wawe kama mazezeta!
 
Report inayowasilishwa kesho itajielekeza kwenye kutuonyesha economic lmpact na kamati yake imeundwa na wabobezi wa uchumi na sheria. Sasa kama kweli Lisu na Zitto nia yao ni njema kwenye sakata hilii la makanikia basi kesho watakuwa uwanja wa nyumbani kwa mujibu wa taaluma zao. Kwenye ile ripoti ya Prof Mruma, hawa wanasiasa wawili walidandia treni kwa mbele na tunaweza kuwasamehe kwa kuwa Yale maji yalikuwa marefu kwao. Kesho ndio tutazijua rangi zao halisi maana wanasheria ni mabingwa wa kucheza na lugha, bado hatujasahau ya Richmond na BMK!
Watanganyika bwana!!!! Mnanifurahisha sana!!! Yaani leo mnawaona zito na lissu ndiyo adui wa sakata la madini???? Hawa watu siku zote wangekaa kimya tungejua kuwa tuna mikataba mibovu inayosababisha tuibiwe madini???? Leo waliosaini mikataba mibovu wameibuka washindi na wanaoipinga kila siku na kulia kuwa tunaibiwa wamekuwa wabaya????? Hoja ya lisu na zito siyo kuruhusu huo wizi after all ndiyo walioipigia kelele. Kwao ni style ya tunayotumia kwenye vita hivi. Wazungu ni wajanja sana. Na sisi tusipokuwa wajanja kuwazidi tunaweza kushindwa vita hivi!!!! Hii ndiyo hoja yao.
 
Kama mnafanya kwa ajili ya kumukomoa Lissu kuna uwezekano wa kutokufika mbali kwa kuwa Hanna nia njema na nchi kama ambavyo hamukuwa na nia njema Siku mulipokuwa mnasaini mikataba mibovu.

Wakati Lissu aliyekuwa na nia njema na nchi alikuwa anapinga mikataba isisainiwe kwa nia njema ileile ya kuihurumia nchi Lissu bado anatoa tahadhari kwa nia nzuri aliyonayo mh rais kuwa afanye kazi kwa tahadhari anaposhughulikia suala hili kwani nia njema na yenyewe isipokuwa na tahadhari inaweza ikaitumbukiza nchi katika janga kubwa zaidi.
Well said mkuu. Halafu watanganyika eti hawamuelewi zito na lisu!!!!! Wanawabeza leo!!! Waliotufikisha hapa wanashangiliwa halafu na wao wanawaita wenzao wezi!!!! This strange world!!!!!
 
Hv Zitto na wenzake wa upinzani si walifukuzwa bungeni ili ccm wapitishe muswada wa madini leo iweje upitishe mikataba fake ww halafu tustaajabu sura za waliopinga mikataba kandamizi??tumia kichwa kuwaza,usipotoshe watz tushafunguka tunaelewa kila kitu
 
Kwa bahati mbaya kabisa ripoti ilitoka kabla ya hata tume haijaundwa, tume yenyewe imepewa marking scheme inakili majibu, ya kesho yamwshavuja wanatafuta wakumhamishia mzigo mtu aliye nje ya mfumo na hajawahi kuwamo humo...
Nitapita tena majira ya saa 12:30 mchana ili kutoa maoni yangu
 
Rais Magufuri alikuwa mbunge wa Chato kwa miaka ishirini kwa miaka 20 kwa tiketi ya ccm wazee wa ndiyooooooo. Ni wakati huu mikataba hii ilipitishwa.
 
Back
Top Bottom