Tanesco kuondoa Monthly Service Charge ya Tshs 5,520
Hatua hiyo inaenda sambamba na maombi ya kushusha gharama za umeme kwa takribani asilimia 1.1%
Pia gharama za ulipiaji gharama ya form unapoomba umeme kuondolewa.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco Eng Feleschmi Mramba wakati akiongea katika Studio za ITV
Hata hivyo utekelezaji wake utategemeana na kasi ta EWURA katika kujibu maombi yao hayo
Service Charge ilikuwa ni mwiba kwa watumiaji wananchi wa kawaida kwani endapo mwanzoni mwa mwezi atawajibika kununua umeme kwa garama isiyo chini ya shilingi 7,000 ikiwa ni makato ya Service na Kodi
Hongera TANESCO kuliona hilo

TANESCO NA HUYO MRAMBA NI BURE TU.Sielewi mantiki ya TANESCO kuomba kibali cha EWURA kupunguza gharama za umeme, tena kwa asilimia moja tu! Hivi kazi ya EWURA hapa ni nini? Watakagua mahesabu ya TANESCO ili kudhihirisha hawajayavuruga... au? Kama tulishatangaziwa na Waziri husika kwamba bei ya Umeme itashuka hawa EWURA si wangepinga hapohapo au wangesema hoja zao?
Halafu tunaambiwa baada ya muda fulani watapunguza kwa asilimia 7.80. Kwanini isiwe sasa? Kama unakadiria gharama za project yako zinazohusisha umeme kwa kipindi cha mwaka au zaidi hesabu zako kuhusu element ya umeme uziweke vipi?Yaleyale ya mipango ya mwaka mmoja mmoja yaliyoleta kelele bungeni kikao kilichopita.
Huenda hii ni strategy ya ku-preempt hoja za Bunge lijalo la Bajeti ili ikitokea hoja ya bei ya Umeme waseme mbona imepungua na tumesema itapungua zaidi? Hapo mambo ya ESCROW sijuwi nini yatakuwa zimwi lililopita.
Amehojiwa taarifa ya habari ya jana usiku saa mbili na Sam MahelaSasa mbona mnachanganya watu? Taarifa ya hapo chini inasema mramba amekanusha, sasa hayo ya studio ya ITV yalifanyika lini?
Gharama za umeme kushushwa (Tanesco yakanusha uvushi )