hazole1
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 4,319
- 3,916
Mzee alikuwa fighter sana na amefight hadi dakika ya mwisho.
Na nimejifunza mambo memgi sana kwa huyu mzee aliyetuacha.
Mzee ktk umri wake ameifanyia mengi tanzania.
najiuliza je! kama mm kijana nitaifanyia nini tanzania?
Na siku nikifa nitakumbukwa kwa lipi?