Makabila yenye watu wakarimu zaidi Tanzania

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
46,710
66,951
Kwa uzoefu wengi haya makabila wana ukarimu wa hali ya juu sana,

1. Wamasai
2.Wabena
3.Wazaramo
4.Wagogo
5.Wahaya.
 
wabena wakarimu ila usiende kutafutia kwao wana wivu wa kike tofauti yao na wachawi ni vitendea kazi tu mimi mwenyewe ni mbena mix mhehe
 
Usisahau pia hao hapo wanaoonekana wakarimu ndo karibia jamiii ambazo ni masikini/fukara sana hapa tz ! Akili kimkichwa !
 
Mwafrika yeyote wa ndani dani uko huwa ni mkarimu. Akiishakaa Arusha au Dar ukarimu unaisha.
 
Back
Top Bottom