Bila kuiba kura samia hawezi pata hata 20%, tunaongea na wapigakura wa ccm, wengi wao wanasema hawawezi kumchagua.Kanda ya Ziwa mama hakubaliki - ile kanda ina misingi yake ya utawala kwa mwanamke ni ngumu mno kutoboa hii ni kuanzia kwenye kaya.. ni jadi yao.
CCM watapata taabu sana kule.
Naweza nikaapia hizo tetesi umepewa na bibi yako na sio wakazi wa Kanda ya Ziwa.Kuna tetesi zinazoendelea chini kwa chini ndani ya Mikoa ya Kanda ya Ziwa kuwa uchaguzi wa mwaka huu wataamua kuchagua wawakilishi wabunge na madiwani kutoka vyama vya upinzania baada ya kubaini kuwa wabunge wengi wa CCM wanashindwa kuwatetea kwenye mambo ya msingi kwa kuhofia kutoteuliwa na CCM kugombea uchaguzi wa mwaka huu.
Tetesi hizo zimeenea katika mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Mara, Kagera, Geita na Kigoma ambapo wananchi wa hali ya chini wanalalamikia uwakilishi duni wa wabunge wa CCM katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wakiwatuhumu kwa mambo mbalimbali ikiwemo kukubali kupitisha Sheria mbovu zinazowakandamiza, kushindwa kuwatetea kwenye mambo ya kilimo, madini, uvuvi huku sekta hizo zikiwa zinabeba uchumi wa kanda ya ziwa.
Vijiwe vingi vya Kahawa katika Jiji la Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Mara, Geita na Kagera mada hizi za uwakilishi mbovu wa wabunge zimekuwa zikijirudia mara kwa mara na kuapa kurudisha nguvu ya upinzani ya miaka ya 2010 ambapo majimbo mengi Kanda ya Ziwa yalikuwa upinzani.
Majimbo yaliyokuwa na wabunge wa upinzani ni pamoja na Nyamagana, Ilemela, Ukerewe, Bukoba Mjini, Bukombe, Tarime Mjini, Tarime Vijijini, Bunda, Serengeti, Maswa Mashariki, Maswa Magharibi, Meatu, Itilima.
Habari njema sana,watanzania tutakuwa tumekurupuka kutoka usingizi wa pono.Kuna tetesi zinazoendelea chini kwa chini ndani ya Mikoa ya Kanda ya Ziwa kuwa uchaguzi wa mwaka huu wataamua kuchagua wawakilishi wabunge na madiwani kutoka vyama vya upinzania baada ya kubaini kuwa wabunge wengi wa CCM wanashindwa kuwatetea kwenye mambo ya msingi kwa kuhofia kutoteuliwa na CCM kugombea uchaguzi wa mwaka huu.
Tetesi hizo zimeenea katika mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Mara, Kagera, Geita na Kigoma ambapo wananchi wa hali ya chini wanalalamikia uwakilishi duni wa wabunge wa CCM katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wakiwatuhumu kwa mambo mbalimbali ikiwemo kukubali kupitisha Sheria mbovu zinazowakandamiza, kushindwa kuwatetea kwenye mambo ya kilimo, madini, uvuvi huku sekta hizo zikiwa zinabeba uchumi wa kanda ya ziwa.
Vijiwe vingi vya Kahawa katika Jiji la Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Mara, Geita na Kagera mada hizi za uwakilishi mbovu wa wabunge zimekuwa zikijirudia mara kwa mara na kuapa kurudisha nguvu ya upinzani ya miaka ya 2010 ambapo majimbo mengi Kanda ya Ziwa yalikuwa upinzani.
Majimbo yaliyokuwa na wabunge wa upinzani ni pamoja na Nyamagana, Ilemela, Ukerewe, Bukoba Mjini, Bukombe, Tarime Mjini, Tarime Vijijini, Bunda, Serengeti, Maswa Mashariki, Maswa Magharibi, Meatu, Itilima.
Kwa vichekesho kama hivi, endelea kufuatilia post za mwandishi huyu.Kuna tetesi zinazoendelea chini kwa chini ndani ya Mikoa ya Kanda ya Ziwa kuwa uchaguzi wa mwaka huu wataamua kuchagua wawakilishi wabunge na madiwani kutoka vyama vya upinzania baada ya kubaini kuwa wabunge wengi wa CCM wanashindwa kuwatetea kwenye mambo ya msingi kwa kuhofia kutoteuliwa na CCM kugombea uchaguzi wa mwaka huu.
Tetesi hizo zimeenea katika mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Mara, Kagera, Geita na Kigoma ambapo wananchi wa hali ya chini wanalalamikia uwakilishi duni wa wabunge wa CCM katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wakiwatuhumu kwa mambo mbalimbali ikiwemo kukubali kupitisha Sheria mbovu zinazowakandamiza, kushindwa kuwatetea kwenye mambo ya kilimo, madini, uvuvi huku sekta hizo zikiwa zinabeba uchumi wa kanda ya ziwa.
Vijiwe vingi vya Kahawa katika Jiji la Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Mara, Geita na Kagera mada hizi za uwakilishi mbovu wa wabunge zimekuwa zikijirudia mara kwa mara na kuapa kurudisha nguvu ya upinzani ya miaka ya 2010 ambapo majimbo mengi Kanda ya Ziwa yalikuwa upinzani.
Majimbo yaliyokuwa na wabunge wa upinzani ni pamoja na Nyamagana, Ilemela, Ukerewe, Bukoba Mjini, Bukombe, Tarime Mjini, Tarime Vijijini, Bunda, Serengeti, Maswa Mashariki, Maswa Magharibi, Meatu, Itilima.
Ngoja tumsikie Chiembe anasemaje yeye kama yeye.Kwa vichekesho kama hivi, endelea kufuatilia post za mwandishi huyu.
Coalition labda tutengeneze na ccmChadema wangeweza kushinda lakini sera yao ya kumtukana JPM itawakosesha kura nyingi sana sio kanda ya ziwa tu Tanzania nzima watu walikubali kazi zake.
Chadema bado hawajui jinsi ya kushinda chaguzi na kujenga coalition yenye nguvu. Wanaweza kujifunza hata Kenya jinsi ya kushinda chaguzi.
Hatumtaki samiaChadema wangeweza kushinda lakini sera yao ya kumtukana JPM itawakosesha kura nyingi sana sio kanda ya ziwa tu Tanzania nzima watu walikubali kazi zake.
Chadema bado hawajui jinsi ya kushinda chaguzi na kujenga coalition yenye nguvu. Wanaweza kujifunza hata Kenya jinsi ya kushinda chaguzi.
Ndiyo iliyokuwapo, sijui kama Lissu ataendelea nayo. Adui wao wote ni mmoja wote Chadema na serikali, CCM ya Samia.Coalition labda tutengeneze na ccm
Kuna nini tena jamani? Wasira hajasaidia kitu?Kuna tetesi zinazoendelea chini kwa chini ndani ya Mikoa ya Kanda ya Ziwa kuwa uchaguzi wa mwaka huu wataamua kuchagua wawakilishi wabunge na madiwani kutoka vyama vya upinzania baada ya kubaini kuwa wabunge wengi wa CCM wanashindwa kuwatetea kwenye mambo ya msingi kwa kuhofia kutoteuliwa na CCM kugombea uchaguzi wa mwaka huu.
Tetesi hizo zimeenea katika mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Mara, Kagera, Geita na Kigoma ambapo wananchi wa hali ya chini wanalalamikia uwakilishi duni wa wabunge wa CCM katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wakiwatuhumu kwa mambo mbalimbali ikiwemo kukubali kupitisha Sheria mbovu zinazowakandamiza, kushindwa kuwatetea kwenye mambo ya kilimo, madini, uvuvi huku sekta hizo zikiwa zinabeba uchumi wa kanda ya ziwa.
Vijiwe vingi vya Kahawa katika Jiji la Mwanza, Shinyanga, Simiyu, Mara, Geita na Kagera mada hizi za uwakilishi mbovu wa wabunge zimekuwa zikijirudia mara kwa mara na kuapa kurudisha nguvu ya upinzani ya miaka ya 2010 ambapo majimbo mengi Kanda ya Ziwa yalikuwa upinzani.
Majimbo yaliyokuwa na wabunge wa upinzani ni pamoja na Nyamagana, Ilemela, Ukerewe, Bukoba Mjini, Bukombe, Tarime Mjini, Tarime Vijijini, Bunda, Serengeti, Maswa Mashariki, Maswa Magharibi, Meatu, Itilima.
Kuna wakati mbinu zao zinagoma hasa Kura zikiwa nyingi!Watu huwa mnahangaika sana,mnajisahulisha kwamba hzo chaguzi zinasimamiwa na wakurugenzi wa halimashauri na makarani ni walimu ambao boss wao ni mkurugenz