marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,025
- 1,813
Wasalaam.
Nipo kwenye Group Moja la rapa mahiri na storyteller matata Sasa DIZASTA VINA,
Nimesha sikiliza ngoma zake kadhaa kama Vile kanisa ambazo ame jitanabaisha kuwa yeye haamini uwepo wa Mungu
Siku za karibuni alivyo achia ngoma ya TRIBULATIONS Ile aliyo mdiss Rapcha ame nukuliwa akisema "NABAKI NJE YA BOX NISHA DIVORCE DINI"
Hivyo kwa mantilki hii Dizasta vina sio muumini wa Dini yoyote na haamini uwepo wa Mungu Nime ambatanisha PDF yenye maswali. Na kutoka wa wadau na majibu kutoka kwake ,