Majibu kutoka kwa Jide

PAGAN

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
12,075
19,925
FB_IMG_1674400184502.jpg
 
Sijui nikweli,eti yule mwandishi na mchambuzi wa soka na anayejiita Rais wa Timu moja pale London iliyoipiga united leo ndiye anakula mzigo huo .........
 
Jide ndo uvaaji wake huo. Katika maisha yangu ya dhambi nilikuwa na ndoto siku moja nimuoe Jide ila ndoto yangu ikavurugwa na Gadner... sikujilaumu sana kwasababu wakati Jide ndo anaanza kuvuma mimi bado niko O-level. Nikakaa kwa miaka mingi bila malengo yoyote ya kipuuzi hadi mwaka 2007 kama sio 2008 nilipomwona Jokate na Millard Ayo wakiwa ma-MC kwenye Kilimanjaro Music Awards. Nikasema nitakuja kumwoa huyu kwanza tunalingana. Mara ghafla nasikia mwendazake kaweka kambi. Nikakata moto kabisa. Baada ya mwendazake kwenda zake nikaona huu ndo wakati wangu.. wakati najifikiria ndo mara nasikia ana mimba. Kwa sasa nataka niweke nia tena kwa Jide. Mkiona havai tena nguo za kuacha kitovu wazi mjue ndo mimi nimefanikisha. MNIOMBEE
 
Back
Top Bottom