Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 30,823
- 12,748
Ila jamaa tapeli sana, namba moja kabisa.Yabulldozer mwachie Mwamposa mkuu.
Ila jamaa tapeli sana, namba moja kabisa.Yabulldozer mwachie Mwamposa mkuu.
Upo kwenye kibox flani hivi cha uelewa.Hulijui neno bali umekariri vitu na sio philosophy behind.Pia unaamini dhehebu lako ndio ukweli wote.Roho mtakatifu akiwa kwako utaheshimu wengine na hata kama wana kasoro utasaidia na si kujimwambafy.maji ni maji yakiombewa kwa jina la Yesu yanakuwa na nguvu ya kimungu,ndio hayo ya baraka,ya ubatizo nk So hata mwamposa maji yake yanaweza kuwa na nguvu kama yamehuishwa kwa jina la Yesu.Vivyo hivyo keki,mkate nk.Kuna utofauti mkubwa sana Bwaaa shekhe.
1. Maji ya Baraka hayauzwi ili hali yale ya upako yanauzwa.
2. Maji ya Baraka sio mali ya mtu, ili hali yale ya upako ni mali ya Mwamposa.
3. Maji ya Baraka yana nguvu ya Mungu, ili hali yale ya Upako hayana nguvu ya Mungu bali binadamu na ndio Maana yanauzwa.
Kuhusu Sakramenti na vimikate vingine.
1. Sakramenti ya Ekaristi Takatifu ni mwili kweli na damu kweli ya Bwana wetu Yesu Kristo, ili hali Mikate hiyo mingine ni Mikate tu kama Mikate.
2. Sakramenti ya Ekaristi Takatifu inatupa Uzima wa Milele, Wakati Mikate hiyo mingine haina uwezo huo.
Ingekuwa kama wanaziabudu hizo sanamu
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Mbona hata RC Kuna huduma ambazo hupati bila kulipia.Kaka Ibra, kwahiyo Mungu ambaye ndiyo mwenye mbingu na nchi na dunia ni sehemu yake ya kuweka miguu na utajiri wote wa dhahabu na almasi , samati anataka mnyonge ombaomba atoe hela ndio aponywe?
Maybe am missing a point.
Kwani ni hizi tu ndo zinahubir na kutenda upendo, dhehebu halitahukumiwa, atakaehukumiwa ni mtu yule atendae dhambi.Dini ya kweli ni Upendo tu. Hivyo mimi naona buddism na hinduism are the best religion.
Ni mfano siyo kweli.Kuhusu Sakramenti na vimikate vingine.
1. Sakramenti ya Ekaristi Takatifu ni mwili kweli na damu kweli ya Bwana wetu Yesu Kristo, ili hali Mikate hiyo mingine ni Mikate tu kama Mikate.
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Experiments maana yake ni kutaka kujua jambo fulani lilitokeaje (cause and effect). Huyu anayefanya experiment, amekuta tayari jambo hilo lipo. Hafanyi experiment ili kuongeza kitu chochote kwenye kile alichokikuta - anafanya experiment ili apate kujua ukweli na hatimaye ageneralise.Huo uumbaji ni uumbaji gani? Una hakika na unayosema au ni mambo ya kufikirika tu?
Kama unasisitiza sana "the parent will remain the parent", unasisitiza umuhimu wa cause and effect, sasa Mungu katokeaje? Who/ what is God's parent/cause?
Umesoma "Quantum Causal Loop" na kuielewa?
Quantum causal loops
Causal reasoning is ubiquitous - from physics to medicine, economics and social sciences, as well as in everyday life. Normally, causal influence is assumed to only go one way - from cause to effect - and never back from the effect to the cause: the ringing of the bell does not cause the...www.eurekalert.org
Hujathibitisha Mungu yupo wala anahitajika.Experiments maana yake ni kutaka kujua jambo fulani lilitokeaje (cause and effect). Huyu anayefanya experiment, amekuta tayari jambo hilo lipo. Hafanyi experiment ili kuongeza kitu chochote kwenye kile alichokikuta - anafanya experiment ili apate kujua ukweli na hatimaye ageneralise.
Cause and effect in a cyclic nature does not justify that the things on the earth brought by themselves; this is just the way they were made to be. Things like mountains, oceans, lakes, rivers, and so forth have been made to be so, and you don't question on them! Why questioning on cause and effect in a cyclic nature?
Watu wanajaribu kupata ukweli halisi juu ya uumbaji, wanaposhindwa, ndipo wanakuja na conclusions zao za ajabu ajabu. Hivi kweli unaweza kumfanyia Mungu experiment? Yaani aliyekuumba umchunguze alikuumba umbaje. Hivi kinyago kinaweza kumfanyia experiment aliyekichonga?!
Alikutapeli nini mlamba papuchi ?Ila jamaa tapeli sana, namba moja kabisa.
Acha tu muzeye papuchi ya nywele imenivuruga.....Alikutapeli nini mlamba papuchi ?
Kwani Yesu alivokufa msalabani aliondoa vipawa vya unabii, au utume? Au uwalimu au ukuhani. La hasha, manabii wa kweli wapo, mitume wapo, kuhani na walimu nk wapo,Hakuna imani wala nini ipo siku utajua kuwa hata ww unajua kuandaa yesu alitufia dhambini kwahiyo yale mambo ambayo zaman yalikuwa yanafanywa na manabii, mitume, makuhani lakini sasa hata ww waweza andaa funga muombe elishadayi atakusaidia
Umeelezea vizurKuna utofauti mkubwa sana Bwaaa shekhe.
1. Maji ya Baraka hayauzwi ili hali yale ya upako yanauzwa.
2. Maji ya Baraka sio mali ya mtu, ili hali yale ya upako ni mali ya Mwamposa.
3. Maji ya Baraka yana nguvu ya Mungu, ili hali yale ya Upako hayana nguvu ya Mungu bali binadamu na ndio Maana yanauzwa.
Kuhusu Sakramenti na vimikate vingine.
1. Sakramenti ya Ekaristi Takatifu ni mwili kweli na damu kweli ya Bwana wetu Yesu Kristo, ili hali Mikate hiyo mingine ni Mikate tu kama Mikate.
2. Sakramenti ya Ekaristi Takatifu inatupa Uzima wa Milele, Wakati Mikate hiyo mingine haina uwezo huo.
3. Sakramenti ya Ekaristi Takatifu ni Kwaajili ya Wakristo Wakatoliki, tena waliojiandaa yaani wamejitakasa kwa toba na matendo mema, ili hali Mikate hiyo mingine inaliwa na yeyote bila kujali dini yake wala hali yake Kiroho.
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
Maji yetu Katoliki na hayo ya Mwamposa na Tonny Kapola hayana shida ila tatizo linakuja pale Mtu anapoacha kumwabudu Mungu anabaki na Maria
Maria ni mwanadamu tu na baada ya kumzaa Yesu aliendelea na masiha kawaida na bwana ake na alipata watoto wengine: Kuendelea kumuita bikra ni uongo.
Lakini walokole kama TAG nawakubali kwakuwa hawana mambo ya sanamu wala maji ya upako.
Mkuu umechanganyikiwa,wewe ni logical sequitur tuLogical non sequitur.
Kwanza hujathibitisha kuwa kulikuwapo na Adam na Hawa.
Pili, hata ukithibitisha kuwa Adam na Hawa walikuwapo, hujathibitisha kwamba waliumbwa na Mungu.
Yani ni hivi, hata ikiwa watu wa kwanza hawakutoka kwenye vacuum, huo si uthibitisho kwamba wameumbwa na Mungu.
Na kama unaona swali la "wametoka wapi, wametoka kwenye vacuum" ni muhimu, hata huyo Mungu naye naweza kukuuliza "Mungu naye katoka wapi, katoka kwenye vacuum"?
Hata unapokataa logic, unatumia logic, pengine bila kujua.Mkuu umechanganyikiwa,wewe ni logical sequitur tu
Unamjua mvumbuzi wa logic
Logic ni True or False scenerios tu
Logic ni assumptions tu
Ndio maana wanaanza na neno "if
Logic ni comparison
Sasa huwezi thibitisha mambo kwa logic
Uliona wapi na hata mvumbuzi wa logic hakufanya kama wewe
Haikuwandikwa, Munge endelea kuwaabudu.Hebu tupe ilimu kidogo ya wadogo wa Yesu