DOKEZO Maji machafu ya Machinjio ya Ng'ombe yanatutesa Wananchi wa Mbagala - Sabasaba

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

BigTall

JF-Expert Member
Mar 9, 2022
541
1,304


Sisi Wananchi tunaoishi hapa Mbagala Sabasaba tunapata changamoto ya mazingira kuchafuliwa na kuwa hatari kwa afya kutoka katika Machinjio ya Ng’ombe ambayo yapo kwenye makazi ya Watu.

Maji machafu ambayo yanatoka kwenye machinjio hayo tanatiririka kwenye makazi yetu na hakuna jitihada zinazofanywa na mamlaka kudhibiti hali hii.

Wakati huu wa mvua ndio balaa kabisa, uchafu unasambaa, Watoto wanachezea na kinachotokea ni kuwa tunaweza kuona magonjwa ambukizi yakiibuka.
 
Back
Top Bottom