MP CHACHANDU
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 875
- 616
Ikiwa Rais Magufuli akijiandaa kwenda shinyanga tarehe 12/01/2017 mvua Leo imenyesha sana na kuleta maafa zaidi ya watu 200 wakoswa makazi je ? Rais utafika kuwaona wahanga ?
Umewahi kuchanga?Sijui hela ya Maafa Safari hii wata tuchangisha Kwa style gani ???
what holy books state for? every one will.carry his or her load.Sijui atawaambia kuwa na wao abebe msalaba wao
kumbe wewe...."razima niwe mkweri, kama niriramba mtonyo wa kure kwa akina katerero, nikawakataria chakura cha msaada simmiyu, na nyie hamtapaga hata hata bati moja, siri kari HAIJARETA MAFURIKO... tena ni vizuri zimejireta zenyewe mkaanze kurima mvune ndo mnunue mabati na kukarabati hivyo vibanda vyenu" NINGEKUWA MIMI NINGEWAAMBIA HIVYO KESHO!
ileile.mkuu. ukitoa sh ngap?Sijui hela ya Maafa Safari hii wata tuchangisha Kwa style gani ???
"razima niwe mkweri, kama niriramba mtonyo wa kure kwa akina katerero, nikawakataria chakura cha msaada simmiyu, na nyie hamtapaga hata hata bati moja, siri kari HAIJARETA MAFURIKO... tena ni vizuri zimejireta zenyewe mkaanze kurima mvune ndo mnunue mabati na kukarabati hivyo vibanda vyenu" NINGEKUWA MIMI NINGEWAAMBIA HIVYO KESHO!
Duh"razima niwe mkweri, kama niriramba mtonyo wa kure kwa akina katerero, nikawakataria chakura cha msaada simmiyu, na nyie hamtapaga hata hata bati moja, siri kari HAIJARETA MAFURIKO... tena ni vizuri zimejireta zenyewe mkaanze kurima mvune ndo mnunue mabati na kukarabati hivyo vibanda vyenu" NINGEKUWA MIMI NINGEWAAMBIA HIVYO KESHO!
ahahaha,umegonga mulemule!Watu wanasema hawana Chakula lakini wakiulizwa athari za Mvua kubwa wanasema imesomba vyakula vyao walivyokuwa wamehifadhi
mkuu,ulitaka kuandika nini?what holy books state for? every one will.carry his or her load.
will you criticise holy books for what being written?
Duh kijana hulali, kweli wewe ndie mpinzani WA kweli.Atawaambia si mlitaka mnvua hiyo sasa imekuja.
Ikiwa Rais Magufuli akijiandaa kwenda shinyanga tarehe 12/01/2017 mvua Leo imenyesha sana na kuleta maafa zaidi ya watu 200 wakoswa makazi je ? Rais utafika kuwaona wahanga ?