Cha maana acheni kuwatuma vijana wadogo, nendeni wenyewe mkafanye ujahili.mkuu nilisikia baada ya ile sinema ya mbagala ya majambazi, polisi walivamia msikiti na kumkamata bwana harusi..
hebu tuunganisha matukio..
*pilisi yawamiminia risasi wailsmu muembe chai..
*polisi yaua zaidi ya Waislamu 70 kisiwani Pemba january 27 2001
*mashekhe wa Zanzibar waingiziwa majiti ya m**ndu mahabusu na askari polisi
*polisi wamtwanga risasi ya bega sheikh Ponda badae yasibitika mahakamani Ponda hakuwa na hatia..
*polisi yamtwanga risasi mtuhumiwa(mtuhumiwa) wa ugaidi,Arusha(every body is innocent until proved guilty before the court)
*polisi polisi..
wanasema hakuna haki ya kuongea bila ya utafiti..
wacha tufanye utafiti kwanza.
ugaidi unaoitesa Marekani ni zao la mikono yao !Cha maana acheni kuwatuma vijana wadogo, nendeni wenyewe mkafanye ujahili.
Muda si mrefu mtakuwa historia, hizi si enzi za kuchekeana!
hii dini inayotumia neno takbir hivi ni dini ya mwenyezi Mungu aliyeumba mbingu na nchi.Dah! Athuman, Nasri, takbir, bendera nyeusi, maandishi ya kiarabu, milipuko, kofia ya kuficha sura, visu, AK 47, silaha, mimina risasi, walimuua mwenzao, mazishi, vipolisi, ..., ... Walikutwa na simu ya marehemu Mary Joseph aliyeuwa na watu wasiojulikana!
Hizo keywords zinaashiria hawa jamaa ni akina nani na hayo mabendera yao meusi yaliyoandikwa kiarabu nimeyaona kwenye tv nikashangaa sana. It's more than ujambazi wa kawaida tuliozowea.
Fuatilia vizuri na uelewe!ugaidi unaoitesa Marekani ni zao la mikono yao !
amen !
Usiwe na akili nyepesi!
We ulitaka mpaka baba yako auwawe?
Ni heri wamelipuliwa na mapema, neutralised, hao si tishio kwa jamii tena.
Heko Polisi!!
mkuu marekani bado inateswa..Fuatilia vizuri na uelewe!
Marekani kaivuruga Mashariki ya Kati na hateswi na ugaidi bada ya kuondoka huko baada ya kufanya uharibifu.
Leo Washia na Wasunni wanauana kama kuku, huku wamemwacha adui aliyewachonganisha!
Wamarekani wangapi wanauwawa kila siku!
Waarabu wanauwawa wengi sana kila siku huko Syria, Libya, Iraq, Uturuki na hata Afghanistan.
Na bado ngoja Trump aapishwe kuitawala marekani haya majangiri kwa mgongo wa dini watafute dunia nyingine ya kujiripua.Cha maana acheni kuwatuma vijana wadogo, nendeni wenyewe mkafanye ujahili.
Muda si mrefu mtakuwa historia, hizi si enzi za kuchekeana!
kama wafuasi wa OSAMA vile na hii Takbir ndio kifaa gani?Dah! Athuman, Nasri, takbir, bendera nyeusi, maandishi ya kiarabu, milipuko, kofia ya kuficha sura, visu, AK 47, silaha, mimina risasi, walimuua mwenzao, mazishi, vipolisi, ..., ... Walikutwa na simu ya marehemu Mary Joseph aliyeuwa na watu wasiojulikana!
Hizo keywords zinaashiria hawa jamaa ni akina nani na hayo mabendera yao meusi yaliyoandikwa kiarabu nimeyaona kwenye tv nikashangaa sana. It's more than ujambazi wa kawaida tuliozowea.
Acha ushamba wewe,..unawafundisha kazi Polisi?,..hao ndio pekee wanaojua mbinu za kivita.Hapa polis kuna kitu wanaficha inawezekana kweli wanajua kuwa wanenda kuwakamata ma gaidi then baada ya kuonyeshwa chumba walichopo
Watuhumiwa eti wakaenda kugonga mlango wakiwa na mtuhumiwa..!!!!!!!?
Kweli kabisa inaingia akilini
Je haikutakiwa huyo mtuhumiwa baada ya kuwaonyesha eneo awekwe mbali na hapo akilindwa na polisi!!!....
Kisha polisi wenyewe ndio wavamie hilo eneo...!!?
Hiii kama vile mm hainiingi akilini
Kazi iliyo fanywa na polisi ni nzuri sana na nawasifu
Ila watuambie ikikuwaje mpaka mtuhumiwa akapigwa risasi na wenzake hadi kufa ....
Bado ni wimbo ule ule mnaofundishana kuwa TUNAONEWA. Na kudhibitisha haya, inashangaza kuandika kuwa "Polisi yaua waislamu 70 kisiwani Pemba". Hivi haitoshi kusema wamekufa watu 70? Kwani pemba kuna jamii gani nyingine kama si Waislamu, na hiyo ni historia ya utumwa/ukoloni kama ilivyo maeneo mengine ya TZ. Ni kama kwamba walichagua waislamu wakawaua wakaaacha dini zingine . Acha kujifananisha na .............................downloading...mkuu nilisikia baada ya ile sinema ya mbagala ya majambazi, polisi walivamia msikiti na kumkamata bwana harusi..