Sharif
JF-Expert Member
- Mar 13, 2011
- 2,450
- 1,777
kiukweli uhalifu unaongezeka siku hadi siku nchi hii,eti hata ndege sasa zinatunguliwa.
LAKINI vitabu vitakatifu vilishasema...utawala ukiwa wa kidhalimu,maovu huongezeka ktk jamii..
umeingia madarakani kwa hila,tume ya Mwenyekiti wa CCM ya uchaguzi haina hata mwakilishi kutoka upinzani. Na kabla ya uchaguzi mwenyekiti huyo anatangaza kwamba bwana maguvu lazima ashinde na ndie rais..
uliposhindwa unafuta matokeo..
unapofikiria kushindwa unafoji hati ya mahakama kuzuia uchaguzi usifanyike..
unakula kiapo wapinzani hawatotawala nchi hiyo..
Baba unanuka unatarajia nini kwa mtoto ambae anakutegemea wewe kujijengea misingi ya maisha ????