Majaliwa atinga mgodini Buzwagi. Asema bado tunawahitaji wawekezaji, watakaa wakubaliane

Ha ha ha! 90% tuki-assume lile container la mchanga lina uzito wa tani 50 maana yake 0.90 x 50 = 45 tons dhahabu. Kwa maana nyinge; zile containers 220 zilizozuiliwa pale bandarini zina dhahabu kiasi cha tani 45 x 220 = 9,900 = 9,900,000kg.

Leo bei ya dhahabu huko soko la dunia kwa mujibu wa mtandao huu (Gold Prices Today | Price of Gold Per Ounce | Gold Spot Price Chart) kwa kilo ni USD40,513.13. Hii maana yake, makontena yanayozuiliwa bandarini yana dhahabu yenye thamani ya 9,900,000 x 40,513.13 = USD 401,079,987,000 (au TZS 872,348,971,725,000; Trilion 872.35; sawa na bajeti ya Serikali ya miaka 30 kwa ulinganifu wa bajeti ya 2016/2017.

Ha ha ha! Eng. Kakoko acha kutufanya watanzania wote machizi! Hicho kitu hakipo duniani.
Safiii...nilikuwa natafuta hesabu hii hatimaye JF katika ubora wake. Ndo maana nataka kujua vizuri endapo eng kakoko alisema "ana uhakika wa 90% kuwa kilichomo kwenye kontena ni dhahabu na sio mchanga au 90% ya mchanga ulioko kwenye kontena ni dhahabu. Anyway vyovyote iwavyo hii kitu haingii akilini vizuri.
 
Sioni tofauti ya hizo statement mbili. No matter alitamka ipi kati ya hizo, hoja ya msingi haibadiliki.
 
Back
Top Bottom