Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Zero kabisa kina fulani!amejionea kabisa boss wake alivyoingia chaka.
Huyo katumwa akarebishe hali ya hewa baada ya fulani kuharibu.Majaliwa anataka kukalia kuti kavu kama Nape
90% labda awedanganye vipofu wenzakeKatibu mkuu alisema mchanga una madini 0.02% , mkurugenzi mkuu bandari anasema mchanga una madini 90% , hapa nani mtaalam? Lkn akili ndogo tu inasema madini 90% kuyaona isingehitaji maabara ya mkemia mkuu wa Serikali.
sinema safi sana hii, planning zerooo.