Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Wazir mkuu Kassim Majaliwa amefanya ziara mgodi wa Buzwagi na kuchukua sample ya mchanga uanaopakiwa na kupelekwa nje.
Majaliwa amesema bado wanawahitaji wawekezaji na watakaa nao wakubaliane, amesema wanataka wajiridhishe na wawekezaji wetu tuone tunachopata kama ni sawa