Maiti ni maiti tuu

mi nadhani unaweza kumremba ambaye hakuwa mtu wako wa karibu sana. Tena unakuta na mfiwa kapakwa poda halafu anaambiwa asilie sana atafuta makeup. Sijui tunaelekea wapi wanadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…