Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,410
- 33,291
Isiwe Tabu Maiti Zingine huwa zinachukuliwa Msukule imebidi tupate ruhusa kwa vyombo vinavyo husika tumfukuwe Marehemu Tuhakikishe Je Amekufa kweli ?au amechukuliwa Msukule?
We waavhe wafukue kama Hawana Kibali cha kufukua Maiti watakiona Kwa City 😅😅😅Isiwe Tabu Maiti Zingine huwa zinachukuliwa Msukule imebidi tupate ruhusa kwa vyombo vinavyo husika tumfukuwe Marehemu Tuhakikishe Je Amekufa kweli ?au amechukuliwa Msukule?
View attachment 2988282