Maisha yako yote Jifunze kutoka kwa Punda huyu alichokifanya

Hivi matatizo, taabu na Shida ni majaribu? Wengi ndo mnafundishwa hivyo lakini ni upotovu. Kiuhalisia hayo siyo majaribu. Ambaye hajaelewa aulize.
 
Umedhihirisha jinsi Wengi Wa Watanzania tulivyo, Angeweka mada ya Umbea hapa au Ngono ungeona mnavyoishupalia.

Hatupendi mambo yenye jumbe ndani yake na za makala ndefu ndefu.

Si ajabu hata Vitabu tu huwa husomi.

Ujumbe ni mzuri....tatizo waliowekewa huu ujumbe ndo wanabadili picha harisi....ujumbe uliomuhimu ni kuacha lalamika na kujiongeza,cha Ajabu walioletewa ujumbe washageuza mada na kuleta hasira zao za kiasa dhidi ya Bro Magu....Hatuwezi chomoka shimoni kwa mwendo huu!
 
Back
Top Bottom