Maisha ya Pierre 'Likwidi'

Anafanya kazi gani?maana niliwahi kufuatia mahojiano yake lkn muuliza maswali ndo akawa muongeaji mkuu.


Piere anajibu tuu shortl.... Nikaona itsokeeey
 
Huyo hapo iringa
IMG-20190306-WA0003.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
They are just using him...anapenda ulabu basi sasa hivi angekuwa na mchuzi wa nguzi …..kama angesajili misemo yake…..
"its okeyyyyy"
"FIRE LIQUID..TIPS...NK
Isokeyyy hatari faya mamaa nakufa😂😂
 
Kajamaa upstairs zitakuwa hasi na chanya zimeingiliana, kuna siku anahojiwa akaulizwa umeoa akajibu bado umri ukifika nitaoa. Mtangazaji akamuuliza unaumri gani akasema kama 45 hivi nakumbuka, hapo nika'conclude hayupo sawa.
Mbona ruge kafa na 49yrs kwahyo nae kichwa kuna mawimbi ya ziwa Tanganyika?kuoa au kuolewa ni maamuz ya mtu
 
Mbona ruge kafa na 49yrs kwahyo nae kichwa kuna mawimbi ya ziwa Tanganyika?kuoa au kuolewa ni maamuz ya mtu
Piere kasema Umri ukifika, ndio kusema yeye miaka 45 umri wa kuoa bado. Sijamaanisha kwamba kuoa kwa muda ni lazima, suala la kuoa ni matakwa ya mtu binafsi.
 
Umaarufu ameupata kutokana kucheza muziki hasa WA WCB na kuchekesha watu kwani uwa ameshakunywa, binafsi jamaa anavutia watu wengi kwenye kuchekesha , kingine huyu mshikaji ni dalali , kingine Ile ni kama ni marketing strategy ( promotion) ya products mbalimbali kwani uangaliwa na watu wengi , mi binafsi nimeujua vizuri wimbo WA fire waist kupitia huyu jamaa
 
Back
Top Bottom