Maisha: Wiki moja baada ya vyeti feki

Tumia akili wewe wakati mwingine. Hayo maelfu ya walimu walio athirika ndio haohao ccm inawategemea na ndio unao waambia wamezoea vya kunyonga
Wewe ndio unapaswa utumie Akili.Ccm ipi inategemea hso walimu!!
Ccm jina walimu wanafundisha watanzania jiongeze kichwani!!
Ulipokuwa unasoma ulimtegemea mwalimu sana ulikuwa ccm!!
Kwa akili hizi nyie Ni laana kuiongoza nchi
maana hamjitambui
 
Hivi kwamfano ulifoji chet chakidato channe alafu ukaenda chuo ukasoma sasa hivi ukitaka kurudia kusoma itakubidi urudie mtihani wakidato channe pekee au mpaka chuo itakubidi uanze upya?? Samahan kwamwenye uelewa wahili
 
Aghushi cheti afukuzwe kazi amwite Mungu amtetee!!!!!
Impossible ever. Mungu unapofanya dhambi ya kudhulumu haki anakuacha tu na siku utakapolia ataendelea kukuacha. Waliposhika nafasi za wenye sifa, wale wenye vyeti halisi walipolia ugumu wa maisha ni kama laana kwao.
Note: Njia ya mkato ina mauti mbele
 
Duuh mkuu we mchungaji nini ?
 
Dunia imetuangukia, mipango, mikakati na taratibu zote za maisha zimecollapse. Watoto wanashangaa furaha ndani haipo tena, baadhi ya watu wanafurahia kuwa sasa ataishi kama shetani. Kuzoea maisha bado muda ni mfupi sana. Mungu tia moyo wa ujasiri kwa watu hawa kwani hawana Kimbilio jingine bali wewe.
Lilikuwa chaguo baya sana.Busara ni kuridhika na kidogo ulichonacho.Shortcuts have always consequenses.And this is it.Na kumbuka za mwizi ni arobaini.
 
Back
Top Bottom