Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,266
- 8,075
mkuu usiwalaumu, imnawezekana kabisa walimchagua Dr Slaa, ila NEC walimchagua JK
mkuu hapo kwenye red. NEC walimteua jk, maana sikusikia wakisema rais mchaguliwa ila walisema rais mteule
mkuu usiwalaumu, imnawezekana kabisa walimchagua Dr Slaa, ila NEC walimchagua JK
Lakini kuna mikoa mengine ilikuwa inatia kichefuchefu mfano Pwani na Tanga watu maskini kufa mtu ukimuuliza mtu kwani ulimchagua JK anakuambia eti ni muislamu. Ukimtazama yeye nguo amevaa imetoboka halafu anakuomba buku aende akale yeye na familia yake. Sasa kweli unaweza kusema hawa wasilaumiwe. Wacha tu wapigike mkate ufikie Tshs 10,000,000, nauli 1,000,000 ndio akili za watanzania zitakaa sawa....
source: TBC1 sijui wanalalamika nini hao hao ndio juzi wamepiga kura kuendeleza ujinga huo!sitaonea mtu huruma kwa lolote lifanyalwo na serikali ya ccm!
Ubongolala hivi hata wewe uliamini Slaa angeshika madaraka cement ingeuzwa shs 5000? hiyo bei ya kununulia ay ya kiwandani? na je kama cement ingekuwa shs 5000 mfuta ya disel na petrol ya kuusafirishia huo mfuko yangekuwa shs 150/= kwa lita? na mchele kilo moja ingekuwa shs 200? au hii ni sawa na ahadi ya kujenga barabara kandokando ya bahari? Umepewa akili fikiria kaka.
Msidanganyane na kufanywa wajinga kuna vitu vingine haviwezekani labda mfute kodi zote kwenye cement na kwenye mafuta na mpunguze gharama za umeme na serikali itoe rawmaterials kwenye viwanda wao kazi yao iwe ku process tu...........unaongea hujui nkodi wanazokata ktk hizi bidhaa, imekuwaje net ya sh 6000 inauzwa sh 500? mbona imewezekana acha kufikiria ndani ya box wewe, waza nje ya box pia na mawazo mgando acha, yeyusha akili hiyo
Hivi haya maneno uliyosema umejiuliza juu ya uchakachuaji..........??? Au unawatupia lawama wao as if mchakato wa kura upo safi.........??? Mtu kushinda inaweza ikawa hata kwa kuchakachua..........source: TBC1 sijui wanalalamika nini hao hao ndio juzi wamepiga kura kuendeleza ujinga huo!sitaonea mtu huruma kwa lolote lifanyalwo na serikali ya ccm!
Itaendelea kupanda........ kwa SONGEA tuuuu AU TZ nZIMA........??? au HATA ALIKO BONGOLALA.........??? BY THE WAY....................hivi huoni kuwa hiyo USD 2,000 uliyoiandika ni VIJSENTI TUUUUUUUU........???2,000 USD Zimeshatengwa ili Chenge awe Spika wa Bunge
Wanataka Chenge awe spika kwa kila hali, Watahonga vibaya mno
HAkuna Rangi tutaacha kuona cc watanzania kipindi hiki cha 5yrs.
Petrol tayari imesha gonga 1,780 per lita ...............na bado ibaendelea kupanda
Ubongolala hivi hata wewe uliamini Slaa angeshika madaraka cement ingeuzwa shs 5000? hiyo bei ya kununulia ay ya kiwandani? na je kama cement ingekuwa shs 5000 mfuta ya disel na petrol ya kuusafirishia huo mfuko yangekuwa shs 150/= kwa lita? na mchele kilo moja ingekuwa shs 200? au hii ni sawa na ahadi ya kujenga barabara kandokando ya bahari? Umepewa akili fikiria kaka.
Ubongolala hivi hata wewe uliamini Slaa angeshika madaraka cement ingeuzwa shs 5000? hiyo bei ya kununulia ay ya kiwandani? na je kama cement ingekuwa shs 5000 mfuta ya disel na petrol ya kuusafirishia huo mfuko yangekuwa shs 150/= kwa lita? na mchele kilo moja ingekuwa shs 200? au hii ni sawa na ahadi ya kujenga barabara kandokando ya bahari? Umepewa akili fikiria kaka.
Unajuwa kuna watu kwa jinsi tunavyoibiwa wanaona huduma bure haiwezekani......................Hebu fikiri...........Kwa nini ishindikane Migodi ya madini inapewa Exemption ya mafuta na mambo mengi tu na baada ya hapo wanakuachia asilimia tatu na endapoa wakipata faida, kwanini ushindwe kukipa viwanda vya kutengeneza Cement nchini kwa manufaa ya maendeleo ya inch???
Kila kitu kinawezekana iwapo mipango ikiwekwa.
Na hili ndo tatizo kubwa kabisa linalotukabili...................yaani tunadhani bei ya cement kule Songea si tatizo letu sote, bali la wanaoishi Songea........... wenzetu hapo Kenya........bei ya mkate sehemu moja linakuwa ni tatizo la wote hata kama wewe unanunua kwa bei rahisi.............AMA KWELI WAMETUDIVAIDI NA SASA WANATURULU.....................Miaka mitano ikiisha watashika adabu.
Msidanganyane na kufanywa wajinga kuna vitu vingine haviwezekani labda mfute kodi zote kwenye cement na kwenye mafuta na mpunguze gharama za umeme na serikali itoe rawmaterials kwenye viwanda wao kazi yao iwe ku process tu...........