The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,182
- 45,750
Kwani Huyo kamishna si anatumiwa report tu? data zote si zinatoka chini yake? hakijaharibika Kitu.
Uko sahihi mkuu, na lazima wawe na centralised system unaowezeha kupata hizo report. Kupotea kwa kompyuta hakuathiri information moja kwa moja. Hapo kama hizo computer zina access maalum ya kuwasiliana na system zikiwa nje ya office ndio kidogo nnaweza kuhofia uharibifu japo kuna uangalizi wa users vilevile.
Kwa ufupi wizi huu hautakiwi uzae movie nyingine zaidi ya huu wizi wenyewe ulivyofanyika.