Mahusiano: Kuna mwenza bora kuliko mwenzie?

sema yote lkn usitishie utamuacha
Mimi huwa sitishii hata siku moja...nikifika hatua ya kusema hivyo basi ujue nimedhamiria na sijakurupuka. Na mimi mtu akinitamkia hivyo basi....alikuwa anatania anatishia atajua yeye
 
Mimi huwa sitishii hata siku moja...nikifika hatua ya kusema hivyo basi ujue nimedhamiria na sijakurupuka. Na mimi mtu akinitamkia hivyo basi....alikuwa anatania anatishia atajua yeye
yap.wapo wengine hawajui ukitishia kumuacha mtu unaanza kumwandaa kisaikolojia kuachana.
 
Itabidi nianze kukuzoesha aisee..Usije ukapata shida huko mbeleni
Teh yani nimejitahidi ila imeshindikana, I hope yupo atakayenibebea huo mzigo. Yani me tangu mdogo uniseme kwa kunionea au hata kunirekebisha, nitalia hadi mafua. Imagine mtu hana uhakika hata kama umekosea afu anakuita "wewe mbwa" au "wewe mpumbavu", Eeeeeeeeeeeeh. Kwenye urafiki tu niwe nalia, huko ndoani je?
 
kukaa kimya ni jambo zuri.japo mwingine anakuchukulia poa ukiwa kimyaa.
Hapo ndo natamanigi nimchape mtu makonde, nashukuru Mungu hajanipa tu nguvu. Mtu kanikwaza, najitahidi kukaa kimya ili nisije nikamjibu nikaharibu mambo, afua still mtu anakwambia "wewe una kiburi sana" aghaaaaa
 
Hahaha kuna watu mkigombana tu kidogo utasikia " tupeane space". Aisee mie ndo unisahau
wakati wewe unafikiria kujenga.mwenzio anafikiria kubomoa! fikiria unajua huyu ndio mwenza wa kufa na kuzikana halafu linakwambia litakuacha! lazima niliache lenyewe bila huruma.libakie na maswali badala ya majibu.
 
Teh teh teh kabisaa
 
Teh yani nimejitahidi ila imeshindikana, I hope yupo atakayenibebea huo mzigo. Yani me tangu mdogo uniseme kwa kunionea au hata kunirekebisha, nitalia hadi mafua. Imagine mtu hana uhakika hata kama umekosea afu anakuita "wewe mbwa" au "wewe mpumbavu", Eeeeeeeeeeeeh. Kwenye urafiki tu niwe nalia, huko ndoani je?
Teh teh..We noma..Ukipata mwanaume muongeaji basi Mwaisela itakuhusu
 
Teh teh..We noma..Ukipata mwanaume muongeaji basi Mwaisela itakuhusu
Hahaha tatizo nikichoka nakujibu neno moja tu, afu naharibugi mbayaaaa, yani utaniogopa kuanzia siku hiyo. Ndo maana sipendi mtu anitolee maneno makali ili nisije nikamjibu na mimi
 
Mahusiano lazima yawe na kuchukuliana mizigo as kila mtu ana mapungufu yake. Ila me naona kama mtu anaona nina upungufu fulani afu hawezi kuvumilia, basi aniache tu no matter how namvumilia ya kwake. Asijilazimishe kuwa kwenye mahusiano yasiyompa furaha.
1. Kuna weakness ambazo zinaweza zikabadilika/kuisha kabisa
2. Kuna weakness ambazo zitapungua kidogo (Eg mtu alikuwa mlevi ila now anakunywa responsibly
3. Kuna weakness ambazo haziwezi kubadilika kamwe. So it's either uubebe huo mzigo kwa kuwa mvumilivu au usepe tu mapema.
Tatizo linakuja hapa, Kila mtu anaona weakness ya mwenzake ndo mbaya zaidi kuliko ya kwake. Me hata mtu awe ananivumilia kwa mapungufu yangu 100, afu yeye akawa na weakness moja tu "maneno makali", khaaa ntamuacha tu aende kwa kweli nisije kufa kwa presha. Nipo sensitive na maneno mnooooo, maneno makali yananiumizaga Mmh. Ndoa ni kuridhiana na kuweza kubebeana mizigo yenu (sio mizigo yoyote inabebeka lakini).
Hayakwepeki dadangu, ukikua utayazoea na kuendelea kuyavumilia kama unavyovumilia vingine.
 
Hahaha tatizo nikichoka nakujibu neno moja tu, afu naharibugi mbayaaaa, yani utaniogopa kuanzia siku hiyo. Ndo maana sipendi mtu anitolee maneno makali ili nisije nikamjibu na mimi
Teh..Nina hamu ya kulisikia hilo..Sijui nikufanyaje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom