Tusaidie hilo shati ni la Namna gani?Hiyo shati aliyovaa ndani ya koti la Suti kwa watu wanaoelewa najua wamepata meseji Mh Kamishna sio mtu wa kujaribiwa.
Hiyo shati aliyovaa ndani ya koti la Suti kwa watu wanaoelewa najua wamepata meseji Mh Kamishna sio mtu wa kujaribiwa.
Mbona limekaa kichungaji?hata ongea yake ni kama mmisionari!au ndiye katumwa aje apambane na lucifer.Hiyo shati aliyovaa ndani ya koti la Suti kwa watu wanaoelewa najua wamepata meseji Mh Kamishna sio mtu wa kujaribiwa.
hakuna cha propaganda video iko hapo angaliaMkuu una uhakika kuwa kayasema hayo uliyoyasema au umeongeza tu ' Propaganda ' zako? Ingependeza mno kama ungeweka hapa ' Ushahidi ' kamili wa sauti ILA Mimi binafsi siamini kama ni kweli Kamishina Rogers Sianga kasema hivyo hasa ukizingatia kuwa majina ya ile Phase 3 aliyokabidhiwa wiki iliyopita RC Makonda mwenyewe alituambia kuwa safari hii wapo pia Viongozi wa Serikalini pamoja na Watoto wao na kwamba wanajihusisha katika ama ' kuratibu ' au ' kusafirisha ' au kufanya ' mauzo ' yake.
Kwahiyo kwa kuzungumza kwake bila data Hana tofauti na maujinga ya yule bwaana!!!?..amewapima?
..anatakiwa awe na utaratibu wa kuwafanyia RANDOM TEST.
..ni makosa kutoa jibu kama hilo bila kuwa na ushahidi wa watumishi hao kupimwa.
he he.. Kama mimi sisemi maana nilishahaidiwa kifo sasa yafaa nini..?Anamkakati mzuri ya kuwahoji vijana waliopo magereza nje ya nchi. Hawa watatoa ushahidi mzuri wa nani katuma . Wasinyongwe tu hili litapoteza network ya wauza unga
Linaitwa "Traditional Chinese Shirt"....mengine utajiongeza.Tusaidie hilo shati ni la Namna gani?
Mkuu wengine hatufuatilia ndio tunaiona hapa jf na ni kweli amesma kuwa mpk sasa hakuna connection yeyote ya viongozi wa kisKapimwe akili,kila mtu alifuatilia vizuri kipindi hicho mpaka mwisho,udaku unakusaidia nn?
Mkuu wewe nawe haijasikiliza vizuri ...mbona amejibu kuwa hajaona connection ya viongozi wa kisiasa au serkali kujihusidha na biashara hii?Jamani mambo mengine tusiwe tunapotosha.
Wengi tumemsikia Rogers Sianga akihojiwa na Tido Mhando ktk kipindi cha Funguka,amejieleza vizuri sana,akajibu maswali kwa uzuri sana.
Moja ya swali aliloulizwa,ni je kweli viongozi wa siasa wanajihusisha na madawa ya kulevya?
Akajibu akasema,hawezi kusema ndio wala hapana,kwa sababu ndio kwanza anaingia ofisini.Wampe mda kwanza ili afanye kazi na majibu yatapatikana kama wapo au la!
Akasisitiza kuwa,operation inayoongolea watakamata watu,ukiona mtu amekamatwa anakwambia mimi nilitumwa na fulani(ambaye ni mwanasiasa) au ndugu yangu ni fulani,au unakamata mtu halafu unaanza kupigiwa simu na kiongozi kuwa huyo "kijana wangu" naomba umuachie,hapo ndio utakuwa na nafasi ya kusema,viongozi na wanasiasa wamo ktk mtandao huu.
Kamishna Sianga akasisitiza kuwa,madam ndio wamepewa ofisi,basi wapewe mda.Akasema lakini watu wajue,zile "cartles" unazozisikia Brazil na Mexico,basi na hapa zipo.
Hayo maneno wewe mkuu Azim Sokoine umeyatoa wapi? Kwanini usisikilize vizuri na kuleta ukweli wa mambo?Kwa hili....Umemsingizia Rogers Sianga!!Sio vizuri
Alikuwemo humo kwenye system zao za usalama wa taifa.....akiwa Moshi huko na arushaKabla ya kuteuliwa nafasi hiyo alikuwa na kazi gani?
Nimeishiwa nguvu. Ni wiki mbili tu, huo uchunguzi kaufanya lini? Na mimi nasubiri clip, Ilan naona ile movie inaendelea.Kama Sianga kasema hayo, tena kwa mdomo wake, basi ameshindwa kabla hajaanza na vita dhidi ya madawa ya kulevya ndo imekoma.
Awezaje kuyasema hayo wakati hata mwezi kazini hajamaliza? Yaani tayari ameshawachunguza wote na kuthibitisha kuwa hakuna hata mmoja anayetumia au kushiriki kwa namna fulani kwenye biashara hiyo haramu?
Mmm, mimi siamini kama kasema hivo. Weka kaclip tafadhali!