Be calm
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 33,702
- 81,919
Sawa mkuuWe kama una bwanako katika wale wafiraiji, sahau , hawatoki
Sawa mkuuWe kama una bwanako katika wale wafiraiji, sahau , hawatoki
Hiyo kesi ilikuwa na ushahidi dhahiri wa wahusika ila kuna ushahidi gani dhahiri wa huyo "afande" Kwa majina na vitu vingine vitavyofanya mahakama kumshikilia huyo afande anayetuhumiwa?..Zile danadana tu ilitosha kabisa kutuonesha kwamba hii kesi 'inakufa yenyewe' muda sio mrefu.Hiyo ndio Tz bwana.
Huyo AFANDE kiongozi wa genge la wabakaji na 'MAMA' yenu wote ni walewale, sielewi mnashangaa kitu gani hapo.Taarifa zaidi hizi hapa
View attachment 3128613View attachment 3128618
Swali letu ni hili, Je Ubakaji ule ulikuwa na Baraka kutoka Juu, Kwanini?
Ndiyo kuna kitu kinaitwa thorough investigation, unaanza na motives, circumstantial evidences na bado kuna utitiri wa vitu. Kuna mawasiliano, forensics nk.Kesi ngumu hii kwa common sense tu, unamshtaki mtu vipi kwa kuambiwa "alisema" au "aliwatuma" watu wazima" unaprove vipi beyond doubts kwamba ni kweli aliwatuma au wale vijana walisema ili wajinasue tu???
Ndiyo kuna kitu kinaitwa thorough investigation, unaanza na motives, circumstantial evidences na bado kuna utitiri wa vitu. Kuna mawasiliano, forensics nk.
System ingekuwa willing angekamatwa,kuhukumiwa na hatimaye angefungwa tu ila kwakuwa analindwa hilo halikuwezekana.
Hata mm nashangaa, kuna ushahid hupi wa kumkuta na hatia? Yaan kila kitu ni siasa na kulalamika kuwa wanaonewa numbe uongo tupu.Ngumu sana kiongozi! Unapimaje motives? Kesi ya namna hii unahukumuje kwa ushahidi wa mazingira? Ingekuwa rahisi kidgo kama wale wengine wangekuwa under 18. Otherwise huyo afande atawaacha nje wafungua mashtaka na hakimu kwa aibu! Huwezi kumfungulia mtu shtaka la jinai kwa "hearsay" sina upande wowote just thinking tu kwa common sense!
hana kosa wacha waliofanya kosa watumikie adhabu yao utakubalije kutumwa kufanya kosa?Taarifa zaidi hizi hapa
View attachment 3128613View attachment 3128618
Swali letu ni hili, Je Ubakaji ule ulikuwa na Baraka kutoka Juu, Kwanini?
Mi huwa nakuelewa sana Mzee,”Amri toka utosini”Kwa mwenendo ule wa kesi na dharau kwa Mahakama iliyoonyeshwa na Afande Fatma Kigondo kila mwenye akili alijua kuwa kesi itafutwa kwa amri toka utosini, kabisa siyo kwa dharau zile.
Umesema vyemaWe kama una bwanako katika wale wafiraiji, sahau , hawatoki
Si wabakaji washahukumiwa
Mimi siyo mjuzi wa sheria lakini najiuliza hivi mtu ana umri wa miaka kumi na nane na zaidi eti anaambiwa nenda akabake na yeye anakubali kwenda na akili timamu na anajua hilo ni kosa.Sasa hapo mimi naona afande hana kosa lolote labda yeye mwenyewe aseme jamani mimi nimewatuma hawa wakabake.Lakini sioni kigezo cha kumtia hatiani.Na wanasheria wetu hawa wengine ni watoto sana.Wanaenda kishabikishabiki tu .Wasiwe wankurupuka.
Wale kifungo Cha maisha nadhani lilikuwa ni changa la macho kuwapoza wananchi lakini watatolewa
Kuna huyo wakili Madeleka akiongea utadhani keshashinda kesi, mpaka anasema hakimu ashtakiwe. Aiseee tabu sana