hakika utakufa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2016
- 1,789
- 822
Unauhakika wote ni magaidi unazani ww u salama sana?ok.Washikishwe adabu hatutaki viashiria vya ugaidi nchini kwetu
Unauhakika wote ni magaidi unazani ww u salama sana?ok.Washikishwe adabu hatutaki viashiria vya ugaidi nchini kwetu
Ila magaid wanaishi siku zote? Unaogopa kufa kisa adhabu za kabri za uongo? Sisi kufa ktk kristo ni faidaPumzi zinakuhadaa, wako wakubwa zaidi ambao walikuwa na chuki na roho mbaya zaidi kuliko wewe sasa wameondoka imebaki fremu za mifupa kule Saudia Arabia imehifadhiwa watu wanaenda kutalii wakiiangalia.
Kama alivyoshikishwa adabu yesu juu ya msalaba.
Mashekh wanaofundisha karate na chuki misikitini ndio adabu au? MIMI NASEMA wakae hukohuko korokoroni, Kama JK aliwaacha huko, basi magu hatashughulika nao hao magaidiWewe unazo hizo adabu?
Utasemaje Mashekhe Wetu tunawowaamini kiimani kuwa hawana adabu?
Jichunguuze naujiheshimu, chunga ulimi wako mchafu.
Kama alivyoshikishwa adabu yesu juu ya msalaba.
Sasa mnachodili .ni nonnsese. Hebu kila MTU abaki na imani yake. Allah akitaka atawatoa sio watu ndio watawatoa. Hapo mnaotaka wawatoe ni asbabu tu. Allah kama aliandika wakae maisha watakaa. Na kama watatoka bado ni. Allah ndio master plan wa dunia hii. Acheni kubishana kuhusu kutoka kwa ndugu hapo , ongezeni duaa, wakifishwa huko wamepata tiketi. Allah atawafahamisha tu
Hapo umekosea. Yesu na kesi ya mashehe wapi na wapi.Kama alivyoshikishwa adabu yesu juu ya msalaba.
Hakuna kesi inayowahusu waislam! Hakuna hati yoyote ya mashtaka nchi hii inayosomeka shauri kati ya waislam na serikali au MTU yeyote mwingine!Msemaji wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Rajab Katimba
Dar es Salaam. Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania imezitaka mahakama kuharakisha kesi za ugaidi zinazowakabili waislamu mbalimbali nchini kwasababu wamekaa zaidi ya miaka mitatu jela.
Akizungumza na waandishi wa habari leo, msemaji wa jumuiya hiyo, Sheikh Rajab Katimba amesema taasisi hiyo inapinga vitendo vya ughaidi ila wote walioshikiliwa wanatakiwa uchunguzi ukamilike ifahamike kama wamehusika au la.
"Masheikh na waumini mbalimbali wamekamatwa karibu kila mkoa nchini, inadaiwa uchunguzi unaendelea na miaka inaenda. Mahakama iharakishe kesi hizo," amesema Sheikh Katimba.
Chanzo:Mwananchi online
Osama mwislam, al shabaab waislam, Isis waislam, BOKO haram waislaam! Hao Nao wanasingiziwa au? Hao wote ni magaidi! Kwa hiyo japokuwa waislam walio wengi si magaidi lakini magaidi karibu wote duniani ni waislam! Ndio maana wataalam wanajaribu kutafiti kama kuna uhusiano wowote kati ya ugaidi na uislaam, sababu ni kwamba magaidi wote wakubwa duniani ni waislaam!Uislamu una hali ngumu sana duniani,kesi za 'ajabu ajabu' za 'kupikwa' ni waislamu,ugaidi waislamu,kumdhalilisha mwanamke uislamu n.k. Ewe Mola tunusuru na mdhalimu.
Washikishwe adabu hatutaki viashiria vya ugaidi nchini kwetu
Osama mwislam, al shabaab waislam, Isis waislam, BOKO haram waislaam! Hao Nao wanasingiziwa au? Hao wote ni magaidi! Kwa hiyo japokuwa waislam walio wengi si magaidi lakini magaidi karibu wote duniani ni waislam! Ndio maana wataalam wanajaribu kutafiti kama kuna uhusiano wowote kati ya ugaidi na uislaam, sababu ni kwamba magaidi wote wakubwa duniani ni waislaam!
Ifike mahali tubadilishe kabisa utaratibu wetu wa upelelezi na ukamataji watuhumiwa na uendeshaji kesi mahakamani. Watu wanakamatwa kwa tuhuma tu ambazo hazina ushahidi wa kutosha, wanaitwa waandishi wa habari, dunia nzima inatangaziwa kuwa tumewakamata watuhumiwa wa ugaidi, kesho yake wanapelekwa mahakamani halafu Hakimu anaambiwa upelelezi unaendelea na kosa ni la ugaidi na hakuna dhamana. Matokeo yake faili linarudishwa kabatini na polisi wanasubiri kesi nyingine ambayo tena wataita waandishi wa habari tena kesho yake mahakamani, upelelezi unaendelea... nk, nk. Watu wasio na hatia wanateseka familia zinasambaratika na chuki katika jamii inongezeka bila sababu za msingi. Tujifunze kutoka kwa wenzetu ambapo mtu hukamatwa tu pale waendesha mashtaka watakapojiridhisha pasi na shaka kwamba ushahidi dhidi ya mtuhuiwa utasimama mahakamani kwa asili mia.Msemaji wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Rajab Katimba
Dar es Salaam. Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania imezitaka mahakama kuharakisha kesi za ugaidi zinazowakabili waislamu mbalimbali nchini kwasababu wamekaa zaidi ya miaka mitatu jela.
Akizungumza na waandishi wa habari leo, msemaji wa jumuiya hiyo, Sheikh Rajab Katimba amesema taasisi hiyo inapinga vitendo vya ughaidi ila wote walioshikiliwa wanatakiwa uchunguzi ukamilike ifahamike kama wamehusika au la.
"Masheikh na waumini mbalimbali wamekamatwa karibu kila mkoa nchini, inadaiwa uchunguzi unaendelea na miaka inaenda. Mahakama iharakishe kesi hizo," amesema Sheikh Katimba.
Chanzo:Mwananchi online
Msemaji wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Rajab Katimba
Dar es Salaam. Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania imezitaka mahakama kuharakisha kesi za ugaidi zinazowakabili waislamu mbalimbali nchini kwasababu wamekaa zaidi ya miaka mitatu jela.
Akizungumza na waandishi wa habari leo, msemaji wa jumuiya hiyo, Sheikh Rajab Katimba amesema taasisi hiyo inapinga vitendo vya ughaidi ila wote walioshikiliwa wanatakiwa uchunguzi ukamilike ifahamike kama wamehusika au la.
"Masheikh na waumini mbalimbali wamekamatwa karibu kila mkoa nchini, inadaiwa uchunguzi unaendelea na miaka inaenda. Mahakama iharakishe kesi hizo," amesema Sheikh Katimba.
Chanzo:Mwananchi online
Bas kama ni magaid wapigwe tu hakuna namunaUnazani wepi tena