SALOK
JF-Expert Member
- Sep 20, 2011
- 3,348
- 1,992
Mara baada ya Rais John Pombe Magufuri kuapishwa, Kashi kashi na mbwe mbwe za kiutawala zikaanza...
Tumbua tumbua, ziara za kushtukiza, kugawa mabunda ya Fedha hadharani kwa watu binafsi na taasisi za umma zenye uhitaji ni baadhi ya mambo tuliyoyashudia ktk utawala wake Marehemu JPM.
Kama walivyo watawala wengine yapo mambo mengi mazuri ya kukumbukwa na yapo mabaya ya kujifunza kutoka kwake...
ktk mambo aliyokuwa ameyaanzisha na kuyasimia kwa nguvu ni kuanzisha division ya mahakama ya mafisadi kutoka mahakama kuu.
Jambo hili lilikuja la moto kweli kweli lakini lilianza kufifia baada ya muda fupi sana tena kabla ya kifo chake, sasa kwa nia njema kabisa nalileta hapa jukwaani, enyi wajuvi wa mambo tujuzeni kuhusu hii mahakama ya Mafisadi imeishia wapi? Mbona hatuoni Mafisadi wakifikishwa huko kama ilivyokuwa lengo la kuasisiwa kwake, ama sasa mambo ni kimya kimya?