Mahakama ya mafisadi haina tija, ni mzigo mwingine kwa wananchi

Nimeamini yule aliyesema wamatopeni wanaakilinusu kijiko
Hivi wewe unachotetea hasa ni nini???? na MNAITAKIA NINI NCHI HII NA CDM SERA ZAKE JUU YA FISADI NI NINI yaani hiki chama ni janga la TAIFA aiseeh..maana haiwezekani nyie kila kitu ni kupinga...ACHA KUTUMIWA CHANGANYA NA ZAKO......
 
Mahakimu/Majaji>>>>WALE WALE
Sheria za Nchi>>>>ZILE ZILE
Wapelelezi wa Kesi>>>>WALE WALE
Makarani wa mahakama>>>>WALE WALE
Majengo ya Mahakama >>>>YALE YALE
Jina la mahakama>>>>>TOFAUTI

BAJETI 2.5 Billions. Za Madafu

Lengo. Kuwafunga kina

Andrew Chenge>>>2 BILLIONS vijisent
Anna Kajumulo >>>1 USD ML Hela ya mboga
Mramba >>>>> Upotevu wa 8 Bilions
Kagoda agriculture >>>> 40Billions
..
..
..
..
Ni mtu mwenye ukilaza wa kiwango cha Je..SCA tu atakubaliana na hizo sarakasi zenu mnazorula huku mmevaa taulo

W..T..F
 
Mimi siku zote nasikia mafisadi,mafisadi,inamaana siku zote hizi hakuna hata fisadi moja aliyewahi kamatwa? kama wameadimika hivi hiyo mahakama anajengewa nani?
 
Daah,kwani ingetengwa mahakama moja kati ya zile zilizopo siingewezekana?maana hao mafisadi wanashtakiwa kila siku kama wale vibaka wa mtaani?
 
Mafisadi katika ubora wao!

Mtu mwenye uelewa wa mambo ambaye pia ana hekima na busara atafahamu Gharama ya nchi kuwa na mafisadi ni kubwa zaidi ya gharama ya nchi kuwa na mahakama ya mafisadi.
Mkuu ni kweli kabisa lakini kujihoji ni jambo zuri tuache haya mambo ya kusema "na iwe mahakama ya mafisadi" na mahakama ikawepo! just for the sake of it.
Baadhi ya ya maswali ni kama mafisadi ni wengi kiasi gani na je tendo ni la kudumu?
Kwa hivi kinochotakiwa kuja kwanza ni sheria ya kuanzisha hiyo mahakama ambapo tafsiri na ukubwa wa tatizo utajulikana na hatimaye kuwepo kwa mahakama.
OKay, if it is from the super natural power that "let there be Mahakama ya mafisadi and there is.. and many others so and so
 
Watanzania wanaenda mbele wanarudi nyuma wameshasahau matatizo sugu kama ufisadi katika nchi yetu leo ku-deal na ufisadi inaonekana hakuna tija tena ? kazi kwelikweli tutaendelea kufahamiana sana
 
Mkuu..
Hii serkaliii imevaa maski/ninjaa
Tunakoelekea ni ukungu/wingu
 
Hivi majaji si watakuwa hawa hawa wanaoipiga chini serikali kila siku inapowashtaki wala rushwa wa kubwa na mafisadi ?
Lazima watafanya vetting ya nguvu, hapo watawekwa tu waliobobea kwenye jinai na waadilifu hasa, awekwe mtu kama Jaji Dkt Feleshi hapo sijui utachomokaje.
 
Si kweli kuwa mahakama hiyo inaungwa mkono na kila mwananchi,mi siungi mkono pia mahakama hiyo! Ni kuongeza gharama bure,kwani mafisadi ni wahalifu na mahakama za kushuhulikia uhalifu zipo.
 
Back
Top Bottom