Mahakama ya Kisutu, yamwachia huru William Mhando wa TANESCO, Mkewe na Wenzao

Hawa walitakiwa wanyongwe kabisa kwa kuhujumu shirika lakini kwa kua justice katika hii nchi hakuna baasi wacha nikubali tu kwa sababu mahakama zinanunuluwa hivi sasa majaji ndio wanaamua kesi
 
Hivi waliompeleka mahakamani walikuwa mahayawani? Unampeleka mtu mahakamani halafu huna ushahidi, ni aibu kwa waendesha mashtaka wetu.
Hivi Mahakamani ni lazima kufungwa? Matokeo ya aina zote ndio kazi ya Mahakama.
 
Nchi hii Magu afute kwanza hizi elimu Za hawa majaji, Na aangalie upya aandae upya hizi sheria. Vyengine of majipu yatatumbuliwa Na baadae itakua Ni hasara kwa Serikali. Majaji Ni watu wa ovyo sana hata awe Na elimu gani anaweza kuchukua rushwa ya elf20 tuu. Hili la mahakama kwa Nchi hii Ni Janga la Taifa.
 
BOSI TANESCO HURU: Korti ya Kisutu yamwachia huru aliyekuwa mkurugenzi wa Tanesco William Mhando na wenzake walioshtakiwa naye kwa matumizi mabaya ya Madaraka kwa kukosa ushahidi.

William Mhando, mke wake Eva Mhando, na wenzao watatu, walifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam tarehe 27,May 2014, wakikabiliwa na mashitaka sita ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka, kughushi na kujipatia Sh. Milioni 31.7 kwa njia ya udanganyifu.

Mwendesha Mashitaka wa Taasisi wa Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Leonard Swai alidai kuwa kati ya Aprili Mosi na Desemba 31, mwaka 2011 katika ofisi za Makao Makuu ya Tanesco jijini Dar es Salaam, Mhando akiwa mwajiriwa kama Mkurugenzi wa shirika hilo, alitumia vibaya mdaraka yake.

Alidai kuwa, Mhando alitumia vibaya madaraka yake kwa kuangalia maslahi yake binafsi baada ya kuipa zabuni ya kusambaza vifaa vya ofisi kampuni hiyo inayongozwa na mke wake, Eva na watoto wake, vyenye thamani ya Sh. Milioni 884.5 na kuisababishia kampuni hiyo kupata faida ya Sh. 31,747,000 kinyume cha sheria .

Katika shitaka la pili, ilidaiwa kuwa kati ya Januari 6 na Julai 30, mwaka 2011, mahali pasipofahamika, jijini Dar es Salaam, Eva alighushi taarifa ya ukaguzi wa fedha ya Kampuni ya Santa Clara Ltd, akionyesha kwamba imekaguliwa na Finx Capital House Desemba mwaka 2010.

Swai alidai katika shitaka la tatu, Agosti 9, mwaka 2011 jijini Dar es Salaam, mshtakiwa Eva alighushi nyaraka za umiliki wa hisa kutoka Santa Clara Supplies Ltd kwenda Eveta John Shing’oma huku akijua siyo kweli.

Upande huo wa Jamhuri ulidai katika shitaka la nne, Agosti 5, mwaka 2011 katika ofisi za Makao Makuu ya Tanesco, jijini, mshtakiwa Eva aliwasilisha nyaraka za manunuzi za kughushi akionyesha kwamba taarifa hiyo imeandaliwa na Finx Capital House huku akijua siyo kweli.

Katika shitaka la tano, ilidaiwa kuwa kati ya Aprili Mosi na Oktoba 31, mwaka 2011 jijini Dar es Salaam, Eva akiwa kama Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Santa Clara Limited kwa nia ovu, alijipatia faida ya Sh. Milioni 31.7 kutoka Tanesco baada ya kuwasilisha nyaraka za ukaguzi za kughushi.

Ilidaiwa katika shitaka la sita, Oktoba 17, mwaka 2011 katika ofisi za Tanesco, mshtakiwa wa tatu hadi wa tano, Mchalange, Misidai na Kisinga wakiwa watumishi wa shirika hilo, walipokea nyaraka za kughushi na kusababisha Kampuni ya Santa Clara Supplies Limited kupewa mkataba wa kusambaza vifaa vya ofisini.

Ilidaiwa kuwa mkataba huo ulisababisha kampuni hiyo kupata mkataba wa zabuni ya kusambaza vifaa vya Sh. Milioni 884.5 na kupata faida ya Sh. Milioni 31.5.
Hakika utawala wa sharia una maana sana katika ustawi wa watu na nchi kwa ujumla. Ni jambo la kutaka wengine wajifunze kuzingatia matakwa ya shria na kununi maana havichangamani na siasa wala ushabiki bali maadiko yanayoelekeza yanayopaswa. Ushahidi usiooana na utashi wa kisheria ni hasara kubwa sana. Refer the recently dismissed Wenje case in Mwanza!!!!!!!.

Unajua tatizo la Mahakimu za TZ wanapokea sana rushwa na ndo maana kesi za PCCB zinapotea hv hv
 
Hawa walitakiwa wanyongwe kabisa kwa kuhujumu shirika lakini kwa kua justice katika hii nchi hakuna baasi wacha nikubali tu kwa sababu mahakama zinanunuluwa hivi sasa majaji ndio wanaamua kesi
BOSI TANESCO HURU: Korti ya Kisutu yamwachia huru aliyekuwa mkurugenzi wa Tanesco William Mhando na wenzake walioshtakiwa naye kwa matumizi mabaya ya Madaraka kwa kukosa ushahidi.

William Mhando, mke wake Eva Mhando, na wenzao watatu, walifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam tarehe 27,May 2014, wakikabiliwa na mashitaka sita ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka, kughushi na kujipatia Sh. Milioni 31.7 kwa njia ya udanganyifu.

Mwendesha Mashitaka wa Taasisi wa Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Leonard Swai alidai kuwa kati ya Aprili Mosi na Desemba 31, mwaka 2011 katika ofisi za Makao Makuu ya Tanesco jijini Dar es Salaam, Mhando akiwa mwajiriwa kama Mkurugenzi wa shirika hilo, alitumia vibaya mdaraka yake.

Alidai kuwa, Mhando alitumia vibaya madaraka yake kwa kuangalia maslahi yake binafsi baada ya kuipa zabuni ya kusambaza vifaa vya ofisi kampuni hiyo inayongozwa na mke wake, Eva na watoto wake, vyenye thamani ya Sh. Milioni 884.5 na kuisababishia kampuni hiyo kupata faida ya Sh. 31,747,000 kinyume cha sheria .

Katika shitaka la pili, ilidaiwa kuwa kati ya Januari 6 na Julai 30, mwaka 2011, mahali pasipofahamika, jijini Dar es Salaam, Eva alighushi taarifa ya ukaguzi wa fedha ya Kampuni ya Santa Clara Ltd, akionyesha kwamba imekaguliwa na Finx Capital House Desemba mwaka 2010.

Swai alidai katika shitaka la tatu, Agosti 9, mwaka 2011 jijini Dar es Salaam, mshtakiwa Eva alighushi nyaraka za umiliki wa hisa kutoka Santa Clara Supplies Ltd kwenda Eveta John Shing’oma huku akijua siyo kweli.

Upande huo wa Jamhuri ulidai katika shitaka la nne, Agosti 5, mwaka 2011 katika ofisi za Makao Makuu ya Tanesco, jijini, mshtakiwa Eva aliwasilisha nyaraka za manunuzi za kughushi akionyesha kwamba taarifa hiyo imeandaliwa na Finx Capital House huku akijua siyo kweli.

Katika shitaka la tano, ilidaiwa kuwa kati ya Aprili Mosi na Oktoba 31, mwaka 2011 jijini Dar es Salaam, Eva akiwa kama Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Santa Clara Limited kwa nia ovu, alijipatia faida ya Sh. Milioni 31.7 kutoka Tanesco baada ya kuwasilisha nyaraka za ukaguzi za kughushi.

Ilidaiwa katika shitaka la sita, Oktoba 17, mwaka 2011 katika ofisi za Tanesco, mshtakiwa wa tatu hadi wa tano, Mchalange, Misidai na Kisinga wakiwa watumishi wa shirika hilo, walipokea nyaraka za kughushi na kusababisha Kampuni ya Santa Clara Supplies Limited kupewa mkataba wa kusambaza vifaa vya ofisini.

Ilidaiwa kuwa mkataba huo ulisababisha kampuni hiyo kupata mkataba wa zabuni ya kusambaza vifaa vya Sh. Milioni 884.5 na kupata faida ya Sh. Milioni 31.5.

kuna.utafauti kati ya "court of law" na "court of justice"
 
Wanaoshangilia Leo kwa watu kufikishwa mahakamani hii iwe reference kwao kuwa PCCP ni wachovu na wanaangushwa ktk kesi nyingi tu!!

Pia watambue biashara ya kutumbua majipu haikuanza Leo....
 
Takukuru hawawezi kuendesha hizi kesi za rushwa wakashinda, hawana miundo msingi yoyote ya kupata ushahidi...

Ndio maana huyo wakili wa Takukuru anaishia kusema "inadaiwa"...
 
Kazi ya mahakama ni kutenda haki. Kupatikana kwa haki sio mpaka kila anayepelekwa mahakamani afungwe au apewe adhabu... Hongera yao kwa kuwekwa huru...
 
BOSI TANESCO HURU: Korti ya Kisutu yamwachia huru aliyekuwa mkurugenzi wa Tanesco William Mhando na wenzake walioshtakiwa naye kwa matumizi mabaya ya Madaraka kwa kukosa ushahidi.

William Mhando, mke wake Eva Mhando, na wenzao watatu, walifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam tarehe 27,May 2014, wakikabiliwa na mashitaka sita ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka, kughushi na kujipatia Sh. Milioni 31.7 kwa njia ya udanganyifu.

Mwendesha Mashitaka wa Taasisi wa Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Leonard Swai alidai kuwa kati ya Aprili Mosi na Desemba 31, mwaka 2011 katika ofisi za Makao Makuu ya Tanesco jijini Dar es Salaam, Mhando akiwa mwajiriwa kama Mkurugenzi wa shirika hilo, alitumia vibaya mdaraka yake.

Alidai kuwa, Mhando alitumia vibaya madaraka yake kwa kuangalia maslahi yake binafsi baada ya kuipa zabuni ya kusambaza vifaa vya ofisi kampuni hiyo inayongozwa na mke wake, Eva na watoto wake, vyenye thamani ya Sh. Milioni 884.5 na kuisababishia kampuni hiyo kupata faida ya Sh. 31,747,000 kinyume cha sheria .

Katika shitaka la pili, ilidaiwa kuwa kati ya Januari 6 na Julai 30, mwaka 2011, mahali pasipofahamika, jijini Dar es Salaam, Eva alighushi taarifa ya ukaguzi wa fedha ya Kampuni ya Santa Clara Ltd, akionyesha kwamba imekaguliwa na Finx Capital House Desemba mwaka 2010.

Swai alidai katika shitaka la tatu, Agosti 9, mwaka 2011 jijini Dar es Salaam, mshtakiwa Eva alighushi nyaraka za umiliki wa hisa kutoka Santa Clara Supplies Ltd kwenda Eveta John Shing’oma huku akijua siyo kweli.

Upande huo wa Jamhuri ulidai katika shitaka la nne, Agosti 5, mwaka 2011 katika ofisi za Makao Makuu ya Tanesco, jijini, mshtakiwa Eva aliwasilisha nyaraka za manunuzi za kughushi akionyesha kwamba taarifa hiyo imeandaliwa na Finx Capital House huku akijua siyo kweli.

Katika shitaka la tano, ilidaiwa kuwa kati ya Aprili Mosi na Oktoba 31, mwaka 2011 jijini Dar es Salaam, Eva akiwa kama Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Santa Clara Limited kwa nia ovu, alijipatia faida ya Sh. Milioni 31.7 kutoka Tanesco baada ya kuwasilisha nyaraka za ukaguzi za kughushi.

Ilidaiwa katika shitaka la sita, Oktoba 17, mwaka 2011 katika ofisi za Tanesco, mshtakiwa wa tatu hadi wa tano, Mchalange, Misidai na Kisinga wakiwa watumishi wa shirika hilo, walipokea nyaraka za kughushi na kusababisha Kampuni ya Santa Clara Supplies Limited kupewa mkataba wa kusambaza vifaa vya ofisini.

Ilidaiwa kuwa mkataba huo ulisababisha kampuni hiyo kupata mkataba wa zabuni ya kusambaza vifaa vya Sh. Milioni 884.5 na kupata faida ya Sh. Milioni 31.5.
kuna haja ya serikali kutunga sheria ndogo itakayowafanya watendaji wake hasa wa kisheria kuwa makini na kuwafanya wasikurupuke na ili kujiridhisha wenyewe kabla ya kufikisha kesi mahakamani.Hasara kama hizi zinazotokana na fidia kwa kushindwa kesi ziwe zinalipwa na wahusika waliosimamia kesi.Naamini itasaidia kuwafanya wawe makini
 
Hivi waliompeleka mahakamani walikuwa mahayawani? Unampeleka mtu mahakamani halafu huna ushahidi, ni aibu kwa waendesha mashtaka wetu.

wAENDESHA MASHATAKA LAZIMA WAO NDIO WASHTAKIWE KWA KUPOTEZEA TAIFA MUDA NA PESA KWA KUFIKISHA KESI MBELE YA HAKIMU BILA USHAHIDI.
 
Compromise from within haipo? Hii kesi ilianza miaka ileeee...
Dr akiwa uringoni
 
Kazi ya mahakama ni kutenda haki. Kupatikana kwa haki sio mpaka kila anayepelekwa mahakamani afungwe au apewe adhabu... Hongera yao kwa kuwekwa huru...
Very well said. Nawashangaa wanaowalaumu majaji na mahakama. Kazi yao ni kutenda haki. Baasi
 
...matokeo ya kesi hii ya kifisadi ni picha halisi ya muendelezo wa kile kinachotarajiwa kwenye kesi za kifisadi zitakazofuguliwa na utawala wa JPM....maana wanaokamata mafisadi bila vielelezo ni hawahawa takukuru....na wanaohukumu kesi hizi ni hawa hawa mahakimu wa kibongo....Bado nasubiria kwa hamu siku moja kumwona fisadi akinyea debe.... na hiyo siku siioni....kama kesi zenyewe mwisho wake huu....mengine yoote ni viini macho tu....
 
Kwa style hii basi hakuna jipya hapa nchini tumbua jipu mahakama zinaotesha jipu
 
BOSI TANESCO HURU: Korti ya Kisutu yamwachia huru aliyekuwa mkurugenzi wa Tanesco William Mhando na wenzake walioshtakiwa naye kwa matumizi mabaya ya Madaraka kwa kukosa ushahidi.

William Mhando, mke wake Eva Mhando, na wenzao watatu, walifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam tarehe 27,May 2014, wakikabiliwa na mashitaka sita ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka, kughushi na kujipatia Sh. Milioni 31.7 kwa njia ya udanganyifu.

Mwendesha Mashitaka wa Taasisi wa Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Leonard Swai alidai kuwa kati ya Aprili Mosi na Desemba 31, mwaka 2011 katika ofisi za Makao Makuu ya Tanesco jijini Dar es Salaam, Mhando akiwa mwajiriwa kama Mkurugenzi wa shirika hilo, alitumia vibaya mdaraka yake.

Alidai kuwa, Mhando alitumia vibaya madaraka yake kwa kuangalia maslahi yake binafsi baada ya kuipa zabuni ya kusambaza vifaa vya ofisi kampuni hiyo inayongozwa na mke wake, Eva na watoto wake, vyenye thamani ya Sh. Milioni 884.5 na kuisababishia kampuni hiyo kupata faida ya Sh. 31,747,000 kinyume cha sheria .

Katika shitaka la pili, ilidaiwa kuwa kati ya Januari 6 na Julai 30, mwaka 2011, mahali pasipofahamika, jijini Dar es Salaam, Eva alighushi taarifa ya ukaguzi wa fedha ya Kampuni ya Santa Clara Ltd, akionyesha kwamba imekaguliwa na Finx Capital House Desemba mwaka 2010.

Swai alidai katika shitaka la tatu, Agosti 9, mwaka 2011 jijini Dar es Salaam, mshtakiwa Eva alighushi nyaraka za umiliki wa hisa kutoka Santa Clara Supplies Ltd kwenda Eveta John Shing’oma huku akijua siyo kweli.

Upande huo wa Jamhuri ulidai katika shitaka la nne, Agosti 5, mwaka 2011 katika ofisi za Makao Makuu ya Tanesco, jijini, mshtakiwa Eva aliwasilisha nyaraka za manunuzi za kughushi akionyesha kwamba taarifa hiyo imeandaliwa na Finx Capital House huku akijua siyo kweli.

Katika shitaka la tano, ilidaiwa kuwa kati ya Aprili Mosi na Oktoba 31, mwaka 2011 jijini Dar es Salaam, Eva akiwa kama Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Santa Clara Limited kwa nia ovu, alijipatia faida ya Sh. Milioni 31.7 kutoka Tanesco baada ya kuwasilisha nyaraka za ukaguzi za kughushi.

Ilidaiwa katika shitaka la sita, Oktoba 17, mwaka 2011 katika ofisi za Tanesco, mshtakiwa wa tatu hadi wa tano, Mchalange, Misidai na Kisinga wakiwa watumishi wa shirika hilo, walipokea nyaraka za kughushi na kusababisha Kampuni ya Santa Clara Supplies Limited kupewa mkataba wa kusambaza vifaa vya ofisini.

Ilidaiwa kuwa mkataba huo ulisababisha kampuni hiyo kupata mkataba wa zabuni ya kusambaza vifaa vya Sh. Milioni 884.5 na kupata faida ya Sh. Milioni 31.5.
Wameisevu ndoa yake huyu Mhando.
Amshukuru Mungu, ndio kamsevu .
Kuna jamaa member humu JF amendika kwenye Avatar yake signature "Wamekula ya mbuzi, wakaota Mapembe-Ndanda Kosovo".
Madaraka yanalevya!!
 
Nothing is wrong mkuu, kushinda kesi mahakamani lazima ujipange. Hakuna longo longo mle. Lazima uwe na evidence za kutosha kumshinda mwenzio or else itakula kwako
Rufaa hapa inakaaje wakuu?
 
Back
Top Bottom