Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,490
- 96,054
Zombie no 1 ni weweMazombi ni nyinyi ambao mnataka nchi iwe kama bar ya pombe za kienyeji, kila mtu aongee tu maadam sauti inaweza kutoka kinywani mwake.
Mazombi ni nyinyi msioweza hata kuangalia changamoto za ulimwengu wa sasa, mnaodhani kuwa siasa za majukwaani ndio mwokozi wa nchi hii.