The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 292
- 530
Mlau wa mahafali ya 23 ya Chuo Kikuu Mzumbe yanayofanyika leo Novemba 24, 2024 mkoani Morogoro Profesa Hawa Tundui amesema ajira ni chache lakini fursa bado ni nyingi, na hivyo kuwataka wahitimu wote wavue kofia na majoho na kufanya kazi yoyote ambayo ni halali kwa kujiingizia kipato.
Kadhalika amegusia historia yake kwa kusema yeye baada ya kuhitimu shahada yake ya kwanza hakupata ajira, lakini aliamua kuanza ujasiriamali wa kufuga kuku.
Video: TBC
Kadhalika amegusia historia yake kwa kusema yeye baada ya kuhitimu shahada yake ya kwanza hakupata ajira, lakini aliamua kuanza ujasiriamali wa kufuga kuku.
Video: TBC